Recent content by paup

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kanisa gani haswa KKKT (Lutherani) ambalo wana morning and evening glory?

    i love you....BE blessed
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kanisa gani haswa KKKT (Lutherani) ambalo wana morning and evening glory?

    asante kwa ushauri kaka mkubwa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kanisa gani haswa KKKT (Lutherani) ambalo wana morning and evening glory?

    kariakoo hua ni asubuh sangap? kimara kwa sasa sina ratiba zao unaeza kunisaidia mkuu?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kanisa gani haswa KKKT (Lutherani) ambalo wana morning and evening glory?

    Natamani kuwa karibu na Mungu zaidi..maana kazi hua haziishi na muda unabana msaada ni wapi naeza kusali asubuhi au jioni weekdays kwa Dar haswa maeneo ya kkoo na posta tafadhalini. asanteni.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya QT Form 2 yameshatoka?

    nadhani wanatumia normal syllabus ila mitihani hua inakua tofauti
  6. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya QT Form 2 yameshatoka?

    ook nashukuru kwa kunifahamisha maana dogo anayasubiri kwa hamu je ya form two huwa yanatoka lini pls me ni mhenga nishasahau
  7. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya QT Form 2 yameshatoka?

    kwa kweli this time naona yametoka tofauti..form two kawaida yametoka qt bado..
  8. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya QT Form 2 yameshatoka?

    Wakuu naombeni kujua mwenye taarifa kama matokeo ya qt form two yametoka ama yatatoka lini msaada tafadhali.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kwenda scoan au kwa TB Joshua hii ni halali au nimetapeliwa

    posta karibu na mirado shop
  10. P

    JamiiForums Tanzania Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

    We ni faiza?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ukumbi wa harusi utakao-accomodote watu 400+

    Wakuu, Naombeni msaada wa ukumbi gani mzuri wa harus utaotoshea watu 400, nimejaribu Impala Mbezi, Promirose, Mbezigarden na Mirado zote zimejaa, harusi ni end of Feb. Mnisaidie na number za simu please.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta ukumbi mdogo wa harusi Dar

    una namba zao unisaidie pls
Back
Top Bottom