Kama mumefika hatua ya kuchezea serikali kiasi hicho daaah inasikitusha sana. watu wazima mmeshindwa kuwashawishi waandamane hiyo tarehe 26/4 munawatumia mwanafunzi sasa
Sijawahi kuona uchaguzi mgumu wakati mgombea tayari ni Rais. Nilichowahi kuona ni kupungua idadi ya wapiga kura kwa kuona kuwa wapige au wasipige kura rais ni yuleyule.
Sasa wahangaike nini kupiga kura wakati hakuna threat yoyote kuwa mgombea wao atashindwa? CDM mkiamini hivyo kuwa wasiopiga kura wamewaunga mkono nyie mnajidanganya.
kama hoja yao ni kuvunja muungano watasema tu, ingawa mimi siamini hivyo. HILO LA RAIS MMOJA NI ZURI, kwangu mm tafsiri yake ni mwelekeo mzuri wa kufikia serikali moja
kwanza anatakiwa ajue wajumbe wote wa BMK watoke na kitu kimoja ili waje kwa wananchi watushawishi tuipigie kura . Haiingi akilini kuwe na makundi mawili, moja lishawishi tukatae na lingine tukubali. Ndiyo maana halisi na umuhimu wa maridhiano. Hata hao BMK hawapaswi kupiga kura katika kupitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.