Lema afikisha bungeni suala la kukamatwa mmiliki wa Lucky School

Boeing

Senior Member
Apr 16, 2017
151
421
Amehoji juu ya kukamatwa mmiliki huyo wa shulule badala ya trafic waliokuwa barabarani siku ya ajali iliyoua watu 35.

Akiomba mwongozo wa Spika kuhusu jambo hilo leo, amesema katika eneo husika kuna vizuizi vya ukaguzi vinne lakini trafiki hawakuona kuwa basi hilo lilikuwa kimezidisha watoto na hawakuwa wamefunga mikanda.

Amesema badala ya trafiki hao kuchukuliwa hatua, anakamatwa mmiliki ambaye hakuwapo. Akijibu mwongozo huo, Naibu Spika, Dk Tulia Ackson amesema suala hilo halijatokea bungeni.
 
Lema Vs Gambo
 
Hiki kituko gani alichouliza bungeni!?

Inaelekea hatambui umuhimu wa usalama wa barabarani kabisaaaaaaaa.

Angesubiri mahakama iamue, sio kwa kuuliza kituko kama hiki bungeni.

Viongozi wengine ni janga la Taifa letu. Sijui mnawachagua wa nini kwasababu wanawawakilisha kwa kusoma maoni ya mitandaoni na kwenda kujitia aibu na kutafuta kiki kwa kila hoja wanayotoa.

Kuna kitu anawakilisha kweli jimboni kwake cha maana kama kipaumbele, au wao ndio wapo juu hawana ya kuwakilishwa bungeni!!!?

Kufiwa kusikie kwa wengine kwa kweli, uchungu ni wa wazazi na ndugu wa marehemy. Mbunge hana subira anatia aibu... bora hata angesema ameuliza polisi sababu na wamekataa kumwambia, ili asubiri mahakama iamue.....aibuuuuuu
 
Gari lilinunuliwa na mmiliki wa shule. Yeye ndie anaejua kama lilikua bovu au la dereva kazi yake ni kuendesha gari.

Na mwalimu mkuu akamatwe maana wakati watoto wanajazwa kwenye gari atakua alishuhudia,iwe funzo kwa wengine.

Kama gari lililopata ajali lilikuwa na watoto wengi hivyo,je yaliyonusurika yalikua na wanafunzi wangapi humo. Uzembe kidogo unaumiza familia na taifa
 
Hebu tuwekeeni namba ya simu ya huyu Tulia ili tupate kumjaza hekima na busara ipasayo cheo chake. Maana naona kwa uhakika anapwaya sana katika kiti. Hivi hajifunzi japo kwa yule Spika wa Uganda?
 
Hiki kituko gani alichouliza bungeni!?

Inaelekea hatambui umuhimu wa usalama wa barabarani kabisaaaaaaaa.

Angesubiri mahakama iamue, sio kwa kuuliza kituko kama hiki bungeni.

Viongozi wengine ni janga la Taifa letu. Sijui mnawachagua wa nini kwasababu wanawawakilisha kwa kusoma maoni ya mitandaoni na kwenda kujitia aibu na kutafuta kiki kwa kila hoja wanayotoa.

Kuna kitu anawakilisha kweli jimboni kwake cha maana kama kipaumbele, au wao ndio wapo juu hawana ya kuwakilishwa bungeni!!!?

Kufiwa kusikie kwa wengine kwa kweli, uchungu ni wa wazazi na ndugu wa marehemy. Mbunge hana subira anatia aibu... bora hata angesema ameuliza polisi sababu na wamekataa kumwambia, ili asubiri mahakama iamue.....aibuuuuuu
Ww ni kihiyo kweli mwenye luck vicent ni mwananchi wake top of that ile shule ina transport ofisa kwanini asikamatwe yeye
 
Hiki kituko gani alichouliza bungeni!?

Inaelekea hatambui umuhimu wa usalama wa barabarani kabisaaaaaaaa.

Angesubiri mahakama iamue, sio kwa kuuliza kituko kama hiki bungeni.

Viongozi wengine ni janga la Taifa letu. Sijui mnawachagua wa nini kwasababu wanawawakilisha kwa kusoma maoni ya mitandaoni na kwenda kujitia aibu na kutafuta kiki kwa kila hoja wanayotoa.

Kuna kitu anawakilisha kweli jimboni kwake cha maana kama kipaumbele, au wao ndio wapo juu hawana ya kuwakilishwa bungeni!!!?

Kufiwa kusikie kwa wengine kwa kweli, uchungu ni wa wazazi na ndugu wa marehemy. Mbunge hana subira anatia aibu... bora hata angesema ameuliza polisi sababu na wamekataa kumwambia, ili asubiri mahakama iamue.....aibuuuuuu
Well said
 
Amehoji juu ya kukamatwa mmiliki huyo wa shulule badala ya trafic waliokuwa barabarani siku ya ajali iliyoua watu 35.

Akiomba mwongozo wa Spika kuhusu jambo hilo leo, amesema katika eneo husika kuna vizuizi vya ukaguzi vinne lakini trafiki hawakuona kuwa basi hilo lilikuwa kimezidisha watoto na hawakuwa wamefunga mikanda.

Amesema badala ya trafiki hao kuchukuliwa hatua, anakamatwa mmiliki ambaye hakuwapo. Akijibu mwongozo huo, Naibu Spika, Dk Tulia Ackson amesema suala hilo halijatokea bungeni.
Hata hizo bajeti wanazojadili hakitendekei bungeni, waache ujinga, ss mtu unanunua ndege hazikuwa kwa bajeti, zisijadiliwe ili nn, haya mambo yana siasa na uchawi sana, wanawake mnatuangusha sana,kupitia huyu ...
 
Nalema nae akamatwe ilikuaje jimbo lake watt wamepakiwa weng mpaka wanapata ajali yy alikua wapi ashikwe nae akatoe maelezo jimbo nilakwake yy namea namadiwan wachadema ashikwe hakuna namna.
Hahahahaaaa daaah mkuu umefikiria Sana wewe ni kichwa
 
Gari lilinunuliwa na mmiliki wa shule. Yeye ndie anaejua kama lilikua bovu au la dereva kazi yake ni kuendesha gari.
Na mwalimu mkuu akamatwe maana wakati watoto wanajazwa kwenye gari atakua alishuhudia,iwe funzo kwa wengine.

Kama gari lililopata ajali lilikuwa na watoto wengi hivyo,je yaliyonusurika yalikua na wanafunzi wangapi humo. Uzembe kidogo unaumiza familia na taifa

Kwani ile gari inatakiwa kubeba abiria wangapi mkuu?
 
Nalema nae akamatwe ilikuaje jimbo lake watt wamepakiwa weng mpaka wanapata ajali yy alikua wapi ashikwe nae akatoe maelezo jimbo nilakwake yy namea namadiwan wachadema ashikwe hakuna namna.
Na rc,rpc wote wakamatwe!

Ova
 
Back
Top Bottom