Recent content by paulina makuri

  1. P

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Watu 2 wafariki papo hapo... Ni katika Mashindano ya magari

    N nakuunga mkono. Gari za mbio zinatengenezwa rasmi kwajiliiyo tu. Poleni sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya maamuzi magumu kesho. Mnyika awaangukia wananchi

    Hii husomwa na aliyeiandaa. Hivyo itakuwa vigumu. CAG anasoma copy yake ( bulletin nyingine) na Spika anafatilia kwa makini kwny hiyo iliyotoka kwa Rais.. Kwahiyo wakiichakachua ni hiyo nakala yao.
  3. P

    JamiiForums Tanzania WaNiger Wamjadili Waziri Wetu Baada Kukata Utepe Na Kuwasha Umeme Kwenye Nyumba Ya Udongo

    Its never a shame because in any African society, such houses are not a queer sight. It shows how efficient our Power supply entity is.I would like to hear a loud applause rarher than harsh comments.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Mtandao: Bob Wangwe aibwaga Jamhuri mahakamani

    Pesa ya kusafirisha mashahidi 2 kutoka mikoani kwao kuja DSM kwa ushahidi dhidi ya boss wa NIDA zimekosekana; ijekuwa sh 5m/-?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Askari Magereza wamuua Neema Dominic kwa risasi wakati wakimdhibiti raia aliyeachiwa huru na Mahakama

    Ha ha Hasa, tena huyo alisema hivyo ni DC wa wilaya ya kigamboni lilipotokea tukio hilo. Anyway, R I P Neema
  6. P

    JamiiForums Tanzania Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    Usihofu Mwananchi. Halijafaa LA Barrick basi litafaa LA korosho zetu tunazopeleka Kenya kwa Indo .....company. T utapata tu. Zidisha maombi
  7. P

    JamiiForums Tanzania Madalali wa Korosho zetu, Indo Power waanza kusaka soko kupitia Alibaba!

    Na bado wakamchagua tena !
  8. P

    JamiiForums Tanzania Minister Maige on spot in wildlife shipping scandal

    Though this issue is counted as time barred, i I'm of the opinion that fresh enquiries should be executed to satisfy ourselves of why did the minister deliberately bypassed the given procedures. Inquest is a must. Tutafute mabeberu walioitauna Tz yetu.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ameanza kujenga Mnara wa Babeli, sasa Mungu atampiga upofu na Ulimi wake asione anayotaka kuyaona, wala asieleweke anapozungumza

    Co mwaka Jana 2018 Askofu huyo alikuwa na maoni tofauti na ya Leo. Je tumaini kaminywa mahali ikabidi amsifie?
  10. P

    JamiiForums Tanzania KOROSHO TENA! Serikali yakaribisha wafanyabiashara wanaotaka kununua na kubangua korosho

    Nakuona unafatilia vyema mambo. Lkn wengine humu macho na masikio yao ni tofauti mno. Tatz nchi hii hatuna dira. Akiamka MTU asbh aliloota analifanya agenda ya Taifa. Ni makosa makubwa!
  11. P

    JamiiForums Tanzania KOROSHO TENA! Serikali yakaribisha wafanyabiashara wanaotaka kununua na kubangua korosho

    Majigambo yote Yale? Vip PM Si alipata mfanyabiashara wa kununua gani 200,000 alafu iliishia wapi? Mkubwa akivukwa nguo huchutama.
  12. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanasiasa mkongwe nchini, Pancras Ndejembi afariki dunia

    Ameshahukumiwa miaka 6 jela
  13. P

    JamiiForums Tanzania Akram Aziz akiri makosa yanayomkabili, alipa faini na kesi kuisha!

    Tulikuwa tunataka zile dollari.
Back
Top Bottom