Recent content by paulchilewa

  1. P

    Tume ya kuchunguza matokeo ya kidato cha IV- ''Tusitarajia muujiza wala jipya''

    tatizo wanatanzania tuwa sahaulifu hawa watoto sindio walifutiwa mtihani wa form two 2010 serikali ikjua wangefeli wote kumbe ilikuwa ikiaarisha tatizo tu!
  2. P

    Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    Wengine tuna vingamuzi vinavyo rekodi programme wakati tupo kwenye shughuli nyingine atuondolee analog zake!
  3. P

    Kwanini hatuwezi kupata Channel zingine DStv kama Startimes..... kwanini niwe na Decoder mbili?

    hawajamaa waliwaambia watanzania wajiandae kumbe wao ndio hawaja jiandaa muda wote waliokuwa wanatanza nivizuri wangetujuza watanzania tujiandae kununnua vingamuzi zaidi ya vitatu ilituweze kupata local channel leo namsikia naibu waziri makamba baada ya kuzima mitambo anazungumzia negotioation...
  4. P

    Clouds Tv: yapotea hewani, yaonesha "chengachenga" kwenye ving'amuzi.

    Huku kuhama bila taarifa ndiko kunatutisha vinginevyo watuambie watanzania tuwe na vingamuzi vyote ilikuwa na mawasiliano ya local channels maana nimeona star tv nao wanatangazo la kingamuzi chao,ITV nao wakija na chao ,mlimani,zuku sijui itakuwaje mimi na hisi tumekurupuka vibaya!
  5. P

    Waislam nchini watoa tamko na kulaani uchokozi wa kidini

    Tukio lenyewe linatatiza sana wengine wanasema jumatatu,wengine alhamisi sasa iweje tukio litokee sikunyingine na wale wenye hasira wakafanya uharibifu sikunyingine na kwa ushahidi gani!
Back
Top Bottom