Polee sana ndugu nafahamu kwa kiasi unapokuwa katika situation kama hiyo lakini ukijiua ndio utakuwa mwanzo wa matatizo huko uendako!
Shetani anakuchochea ufanye hivyo na Mungu anazuia kwa namna mbali mbali sasa kama ukijiua ndugu uendako huko utateseka milele kabisa DON'T TRY kabisa..
Sasa...
Naingia magotini pa Mungu hata hiyo afya ya akili naisikia kwa wengine tu maana Mungu ananituliza na kunipa tumaini tena la uzima wa milele. Mwaminini Yesu Kristo.
Mungu akurehemu kaka naamini siku moja utaelewa, si wakati wa kubishana huu!!, ikiwa umeshindwa kuelewa "Existence can not came form Non-Existance" basi ni maombi yangu Neema hii isikupite.
Ubarikiwe sana!,
Lakini natamani tuwasiliane kama utakuwa willing phone: 0613079530.
Have a nice day!
Nipe Evidence kwamba Dunia ilikuwepo haikuumbwa prove it! Then niambiee nani alietengeneza hivyo viumbe vyote vingine hata bado huvijui, tell me nani aliefanya hivyo??, akili yako ndio haitaki kufunguka na unfortunately huwezi kuelewa kama hujataka kuwa tayari na unataka kuforce akili ichanganue...
Pointless Why.
There is not Existence come from non-existance. Wewe Mwanadamu una mwanzo mwanzo wako ni upi? X And Y ukawa formed mwili ukatengenezwa ukawa hapa duniani right na utaishi kwa muda kadhaa mwisho utakufa!!, na ili ujue una mwanzo (Umewekewa dhamiri na Mungu ndani yako...
SI KILA MTU ANAWEZA SOMA MAKALA HII INACHOMA NA INATAFAKARISHA NA NI MSAADA MKUBWA SANA KWAKO UKISOMA NA KUTENDEA KAZI(Umebarikiwa wewe utakaesoma).
Je!, unalijua hili jambo? Kila mtu
ambae hajaokoka anamapepo ndani yake!, utajiuliza kivipi mbona sijawahi kulipukwa na mapepo, pole sana ndugu...
Je!, umeokoka?, kama bado hujachelewa salimisha maisha yako kwa Yesu Kristo. Unapookoka yaani(Geuko) unasamehewa dhambi zako zote kabisa unabaki sinless (that is the power of the Blood of Jesus Christ) na baada ya hapo utapokea kipawa(nguvu ya Roho Mtakatifu) naye atakusaidia kuishi maisha...
Ndio ni yeye analipa kaka, kwa kutumia watu haji yeye physically anatumia watu kukamilisha haya.
Na kwa kawaida isingepiwezekana lakini ni kwa nguvu zake, sina kazi ila kazi ipo anytime naweza fanya. Nasubili nimalizie mambo kadhaa ndio niingie kazini maana kashaandaa kazi kwa ajili yangu...
Faith on Him!!, na muamini tu!!, ninavyosema Yesu anafanya yote hayo anatumia watu kufanya hivyo ambampo in normal condition haiwezekani!! So muamini 100% mtegemee yeye katika kila jambo, utaandika uzi hapa kama ushuhuda nq watu wengi watakupinga ila wewe utakuwa unaelewa hasa.
Sio motivation kaka!, but ndio ilivyo ni vile bado maybe hujaujua uweza wa Mungu!!,
Mungu anazonjia nyingi hata adaui yako anaweza kumtumia kukupa chakula trust me.
Polee sana but for me naweza kukushauli jambo, turn to Lord Jesus Christ, kingine acha kubeba mambo mengi akilini mwako, Mwanadamu kaumbwa si kubeba mambo mengi, ukiyachukua yote kwa pamoja ndugu yangu utaishia kupata Depression tu. Mpe Yesu mambo yako yote Trust in Him, He never fail na bad...
Mathayo 11:28-30 "Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."
Kwa ushauri...
Mtazame Yesu kama hujaokoka okoka!, nina kaka yangu alikuwa akifanya kazi kwa wahindi kwenye pharmacy nae alipitia kipindi kigumu sana. Akawaza aache kazi lakini ni alivyofahamu kuwa kuna Mungu na ndie aliemuweka pale aliendelea hivyo hivyo Mungu akamsaidia na mpaka sasa bado anafanya na yeye...
Badilisha mfumo, Anza kuforce asikilize nyimbo za injili,mtoto ni empty memory inachukua chochote kile mwenye jukumu hilo ni wewe piga marufuku nyumbani nyimbo zote zisizofaa, bila hivyo hutaweza, Anza kumjenga usimkarpie mwambie kwa upole kabisa mfundishe,ataelewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.