Recent content by Paul Ngigwa

  1. Paul Ngigwa

    JamiiForums Tanzania Hodi hodiiiii!

    Karibu sana. Jisikie huru kama upo kwako vileeeeeeeeee
  2. Paul Ngigwa

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo picha za jamaa aliyepofuliwa macho kwa kutembea na mke wa Polisi

    Huyo jamaa hajatumia busara kabisa. Ilitakiwa waongee wasameheane tu ili yaishe. Kutoboana macho siyo sahihi kabisa
  3. Paul Ngigwa

    JamiiForums Tanzania Zitto avuliwa wadhifa wake bungeni wa Naibu kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni rasmi

    Mh hii ni hatareeeeee ngoja tuone mwisho wake
Back
Top Bottom