Kikwete ana nafasi kimataifa kwa sababu ya rasilimali zetu sasa ameshindwa kuitumia fursa hyo kutuletea maendeleo yenye tija tz hayo mengine ya kukaa round table cc hayatuhusu kama taifa kikubwa tumenufaika nn na huo mkutano kama taofa acha ulimbuken kukaa na viongoz wakubwa unafurahi na...
Clouds ni chanzo kikubwa cha kifo cha ngwea maana kama wasingemdondosha kwa maksudi kimziki na kumnyonya leo asingejiingiza kwenye madawa ya kulevya kuondoa stress,wasanii wengi wamejingiza kwenye madawa ya kulevya ili kujifariji na kupata kipato kujikiimu ila icngekua hivyo mziki ungekua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.