Habari wana jamii, kwasababu hii au ile nimejilazimisha kukaa muda mrefu kidogo bila kupost.
Nadhani tunatembea kwenye tope kama taifa bila nuru ya mwanga. Tumefikia mahali tunaongozwa na watu ambao hata Mungu hakuwaumba kuwa viongozi.
1. Toka Magu sasa wamejiuzulu VP wawili na waziri mkuu...
Kaka uwe na tabia ya kuwekeza kwa mipangilio. Hasara haziepukiki kwenye biashara yeyote...
Labda utushirikishe, wewe uliwekeza wapi na kwa mipango ipi?
Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga.
Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and above. Ila kwa changamoto zilizopo mil 5 zinatoboa.
Mdau atakayekuwa interested nitampa hisa kwa taratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.