Recent content by patriq

  1. patriq

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad(CAG): Nitaitikia wito wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

    Tuambieni yamejiri yapi leo
  2. patriq

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

    Hahaaaa kwani ni km 200 au mt 200...?? Mt 200 nahisi ni viwanja viwili vya football tuu sasa jamani hiyo mbona kawaida.?? Mbona mzee ruksa anakwenda km kadhaa?? E l je. Hebu mlete huyo mwandishi hapa tumpe mboko
  3. patriq

    JamiiForums Tanzania Moses Machali aamua kurejea CCM. Adai CCM ya Magufuli si CCM ya zamani!

    Hapo bado hajafikisha umri wa mzee wa bunda. Atahama mpaka achakae
  4. patriq

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Slaa kwa kuonesha ukomavu kwenye siasa

    Fanyia kazi kaka hadi hapo nimekutonya
  5. patriq

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Slaa kwa kuonesha ukomavu kwenye siasa

    Ni mwalimu wa Somo la Kiswahili ktk moja ya vyuo vikuu. Hongera zake
  6. patriq

    JamiiForums Tanzania Moses Machali aamua kurejea CCM. Adai CCM ya Magufuli si CCM ya zamani!

    Umeamua kurudi mavumbini??
  7. patriq

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Faida iko wapi tujuze bhana
  8. patriq

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa CHADEMA wa kuvihujumu vyama washirika wa UKAWA huu hapa

    Hahahaaaaa hii hata haichukui dakika tano kujua kwamba hii document haijatoka chadema bali imeandaliwa kwa ufundi mdoooogooo wa wale vijana wa buku saba. Haiwezekani chadema imchague mbowe kama mwenyekiti na slaa kama katibu mkuu kisha waeleze siri za viiongozi hawa kwamba hawana mvuto wala...
  9. patriq

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

    alikuwa amekua ban huyu dogo.
  10. patriq

    JamiiForums Tanzania Tuna cha kujifunza kutoka CHADEMA

    Angalau wewe umekuwa mzalendo wa kusema ukweli. Hongera.
  11. patriq

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ameleta maendeleo jimboni kwake

    MANDAL JR ANAFIKIRI SCIENCE KIT MOJA YA MAABARA INAUZWA BUKU SABA ALOZOEA KULIPWA AKILETA UZUSHI HUMU. NJOO TUKUPE BEI. LABDA MWIGULU ATOE HELA ZOTE KWENYE AKAUNTI YAKE ALIZOPATA WAKATI WA UTUMISHI USIOTUKUKA BENKI HELA ZETU ZILIPO EPA, PIA ATOE ZOTE ALIZOPATA WAKATI WA UHAZINI LUMUMBA Ndo...
  12. patriq

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ameleta maendeleo jimboni kwake

    NAONA ULIKUWA HAUJALIPWA MUDA MREFU SANA NA LEO ANGALAU AMEKUKUMBUKA KWA KUKUJAZIA TUMBO NDO UKAKUMBUKA KURUDI JF. HIZO MAABARA ANAJENGA KWA HELA IPI? UNAFIKIRI KILA KICHWA NI CHA KUDANGANYWA? KULIKUWA NA UMUHIMU GANI WA KUHANGAIKA NA BARABARA ILE YA KIFISADI BADALA YA MAENDELEO YA WANANCHI...
  13. patriq

    JamiiForums Tanzania Hoja za Kijinga: Kukataa Uraia Pacha kwa Sababu za "Uzalendo" na "Usalama"

    mwanakijiji ni mgonjwa. alikimbia mwenyewe sasa anaweweseka. hadi ufie huko huko na tunakwambia hauzikwi kwetu.
  14. patriq

    JamiiForums Tanzania Sioni tija ya CHADEMA kumchukia Nassari wakati jimboni anang'aa

    Endelea kupita pita nawe utapitiwa
Back
Top Bottom