Habari wana jamiiforum?
anahitajika secretary wa kufanya kazi ya stationery au msimamizi wa stationery (1)
Mwalimu wa mapishi/ cooker (1)
mwalimu wa secretarial course mmoja (1)
SIFA/QUALIFICATIONS
Awe na level II AU III AU diploma Kutoka chuo chochote kinachotambulika na VETA au Serikali
Uzoefu...
Three (3) Women teachers needed to teach at our school [English medium] Sunrise nursery school.
Qualifications needed;
1. Certificate/grade IIIA or Diploma
2.Ability to deliver in english to the children/pupils
3. Hard working
4.Care and love children/pupils
Nb: salary is negotaitation between...
COMPUTECH COMPUTING TRAINING COLLEGE TUNATANGAZA NAFASI (3) ZA WALIMU WA CHUO CHA KOMPUTA (KIUME 1, NA WA KIKE 2) WENYE SIFA ZIFUATAZO.
1. ELIMU KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA
2. AWE NA MAFUNZO YA KOMPUTA STAGE I-III ( certificate or diploma) kutoka chuo chochote kinachotambulika na VETA OR NACTE...
habari wadau?
natafuta mtu wa kusimamia stationery na personal secretary (PS) katika chuo
sifa wawe:
wamemaliza kidato cha nne
wachapa kazi na waaminifu
ujuzi na uzoefu wa komputa katika program zifuatazo Ms word, Ms excell, Ms publisher, internet ngazi ya cheti
nafasi hizi zinahitaji...
Sifa za msichana huyo awe
mchapakazi
mwaminifu
mwenye ujuzi wa kutumia computer km ms word, excell, publisher, internet etc
awe mkazi wa dar es salaam
na awe tayari kuanza kazi haraka iwezekanavyo MSHAHARA MAELEWANO
mwenye sifa call 0712471333 THANK
Habari wa jf!
Mimi ni mdau wa jukwaa hili hebu tushauriane ktk hili maana km kwel wafanyakazi wote wanafanya hy bac serikal inawalipa mishahara y bure wafanyakazi wake!
Mm n mfanyakazi wa sekta binafsi nipo kikazi mikoani ila nina hangaikia uhamisho wa mdogo wangu fulan yaan mpka nasema haya...
ungejitahidi kuongea ukwel ningekuunga mkono ila ni mnafiki na mlopokaji ulipata wap taarifa hivo za kuwa PHD udom ni less than 20 usitafute umaarufu kwa kuongea uwongo sema ww n kati ya waliotimuliwa ktk deprt hiyo mm deprt niliyosoma prof, dr ndo zimejaa labda pia ungekuwa specific n deprts...
kwel mawazo yk n mgando kwel maana mm buku kwa kiasi kinachohitajika nishapiga na hiyo bustan mm sijasomea agro sthng or horticulture etc mm nalalamika situation iliyopo hapa tz bahati nzuri kazi ninayo japo naamin c lazima kuajiriwa km cina sifa ila ninasifa zote na najua tatizo ni mfumo wa...
bac unabahati mbaya y kukutana n wasio na uwezo ila mm najua c wote na wapo vijana wengi wenye uwezo na ubunifu na sifa nyingine pia wapo waliosoma i mean graduate wa below 2000 n watupu, weupe n hata ubunifu haupo zaid ya kufanya kaz kwa mazoea na outdated techniques!
mm nadhan huijui tz utafanya hayo vip maana ukianza kuzalisha tu kodi zilizopo utajua hapa TRA pale lesen huko ardhi, kule soko, hapa mwenge, huku blabla nyng na huko kijijin c km unavyozan uchawi na mambo mengine ucpime ila fulsa zipo miundombinu haijawekwa ht kidogo ndg!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.