Recent content by Patriot2

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matukio valentine day

    Mimi wangu alinikatia simu wiki jana. Palepale nikatoa dismissal letter. Kwa siku Hizi matumizi yamepungua kinoma hadi najipenda yaani
  2. P

    JamiiForums Tanzania Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

    Watoto wapate elimu bora
  3. P

    JamiiForums Tanzania Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

    Basi achana na hili sio level yako
  4. P

    JamiiForums Tanzania Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

    Uliishia la ngapi mkuu
  5. P

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Kanisa la Anglicana Uganda kujitenga na kanisa Mama la Uingereza la Canterbury

    Unajua maana ya 'kwa niaba ya' ama unatamka tu bila kutafakari.
  6. P

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Kanisa la Anglicana Uganda kujitenga na kanisa Mama la Uingereza la Canterbury

    Kanisa lilifanya au wanakamati.
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu, nahisi kuchukua maamuzi magumu

    Acha ulelemama mwanaume. Ukiachwa tafuta mwingine. Inaliaje? Next time prioritize maisha yako. Usikubali furaha yako iwe determined na external factors. Ila pole "the world is a tragedy for those who feel and a comedy to those who think ". Be a thinker and enjoy every bit. Be a feeler and...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya wenye umri kama wangu wanamiliki majumba

    Tumeishakubaliana wanatamani kuja kuishi Tanzania
  9. P

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kagera dhumuni la kumsogeza kwenye mipaka yetu. Kwanini tulipitiliza mpaka mipaka ya Uganda na Sudani?

    Tunaziheshimu ilimradi sio zitolewe na machawa + zisiwe za kununuliwa. Plus ile ni award na sio academic qualification. Hivyo the tittle Dr should be refrained.
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana ni kwanini hamtaki kuoa?

    Wa kwa Mwamposa ni wagonjwa wa akili
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana ni kwanini hamtaki kuoa?

    Issue kubwa ni capitalism with its cons. Hali ya uchumi ni ngumu. Ukiwaza marriage it's frightening a) Tunza mchumba ktk daily needs b) Lipa mahari c) Garama za harusi Hapo katikati wenye financial powers washakunyang'anya. NB: Kuoa kwa sasa ni act of courage.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    Hiyo ni combi nzuri sana. PCM😀😀
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuwa na Mwanamke anayetishia kujiua. Waogope sana

    Mimi wa kwangu alikuwa anatishia kuniacha kila nikimuudhi. Yeye ndio mwenye haki kwenye mahusiano. Nimemlia timing juzi. Kaniudhi mimi nikamtema mazima. Say no to toxic women na ukiona unatabwagwa, wahi ubwage wewe.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Daraja la Magufuli, Kigongo - Busisi lageuka kivutio cha utalii

    issue ni at what cost
Back
Top Bottom