Jimbo la Siha Kurejea Upinzani Tena
Maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama yanasubiriwa kwa shauku kubwa sana, Kila mwananchi anatamani kusikia jina linalorudi kutoka Dodoma.
Leo nitazungumza kuhusu hili Jimbo langu la Siha, Jana nilieleza kuhusu Arusha Mjini,Arumeru Magharibi na jinsi Chama kitapata...
Leo Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) umefanya mkutano na waandishi wa habari kuelezea suala la kupotea kwa Katibu wao Ndugu Ben Saanane na suala la kuokotwa kwa miili ya watanzania 7 huko Bagamoyo.
Vyombo vya habari vilivyoshiriki:
1. Televisheni (ITV, StarTV, na Clouds TV)
2. Radio...
HAWA HAPA VILAZA WA LUMUMBA AMBAO NI WADAIWA SUGU BALAA.
[emoji654]Kuna vijana wawili wapiga kelele sana mitandaoni kuitetea serikari ata inapofanya ujinga.
[emoji654]Kwenye risti ya majina ya wadaiwa sugu warikua wanasambaza majina ya vijana wa chadema kumbe nao ni wadaiwa sugu.
[emoji654]Wa...
Wenyeviti wa Vijiji Siha wakutana Usiku huu kuweka mambo sawa kwa DC,Wenyeviti wa vijiji kumi na moja wamekuta usiku huu ili kuweka msimamo mmoja wa kumsafisha mkuu wa wilaya kesho mbele ya waandishi wa Habari,
Taarifa zinasema wajumbe wanne wameamua kuondoka kutokana na kuambiwa maneno ya...
Mkakati wa Mkuu wa Wilaya kujinasua huwenda ukagoma.
Taarifa za kuaminika ,kutoka kwenye kamati ya siasa ya CCM Siha jana 01/06/2016 ambako wajumbe wa siasa waliketi na kujadili namna yakukabilina na kashafa ya Mkuu wa wilaya kuitwa mlevi na Mbunge mh Mollel.Mjumbe mmoja alisema hivi'
"Leo...
Shamba la Gararaguwa liko kata ya Gararaguwa
Shamba la Ndarakwai liko kata ya miti mirefu,Shamba hili la Ndarakwai nalo linamzozo wa mwekezaji,Ila la Gararaguwa ni linauzwa kutokana na deni la KNCU,Ambalo haijulikani nani alieleta hilo deni?
Hali ya kisiasa ya CCM katika jimbo la Siha Kilimanjaro imezidi kuwa mbaya kadri siku zinavyo zidi kwenda,
Hali hiyo imetokana na ujio wa wabunge wanao unda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Mh Lema wa Arusha Mjini na David Kafulila wa Kigoma Kusini kufanya mkutano katika kijiji cha Lawate...
Kwa hali ilivyo hivi sasa wilayani siha Dr Mollel anatajwa sana, inasemeka mwaka 2010 ndie alietakiwa kugombea ubunge kupitia CCM.
Mbali na ushindi walioupata ccm wa kulazimisha bado Mwanry anakabiliwa na upizani kutoka kwa kundi linalosemekana ni la Mollel nusu ya madiwani wamekuwa wakimpinga...
Mkurugezi wa hospitali ya Seliani Arusha Dr. Mollel ametangaza rasmi kugombea ubunge katika jimbo la siha kwa tiketi ya CHADEMA.
Mollel amechukuwa uwamuzi huo juzi baada ya wazee wa kimili kumfuata na kumuomba atangaze nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo.
Mollel ambaye aliwapokea...
Mfinanga Oroliani 0753156350 mtafute,huyo alikuwa kamanda wa Chadema Kata yaOroliani na kwa sasa ni mwanaACT na nimratibu wa ACT arusha anaorodha ya majina ya watu kila siku anaandikisha'
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.