Patrick Sirisu
Member
- Feb 26, 2014
- 22
- 17
Mkakati wa Mkuu wa Wilaya kujinasua huwenda ukagoma.
Taarifa za kuaminika ,kutoka kwenye kamati ya siasa ya CCM Siha jana 01/06/2016 ambako wajumbe wa siasa waliketi na kujadili namna yakukabilina na kashafa ya Mkuu wa wilaya kuitwa mlevi na Mbunge mh Mollel.Mjumbe mmoja alisema hivi'
"Leo tumeketi kwakuwa swala la mkuu wa wilaya kuitwa mlevi linatusumbua sana,na ukizingatia hadi sasa wananchi wanazomea viongozi wa ccm,Binafsi sifurahishwi na alichokifanya Mollel hata kama ni kweli,angetumia watu wa hapa hapa wilayani,kwani kunawezee nadhani wangelimazia,kuliko kumlipua bungeni,kumbuka sasa hivi hali ya Mkuu wetu sio nzuri na huyu Magu anaweza mtimuwa muda wowote.
Anaendelea mtoa taarifa
Ni kweli tumewaita wenyeviti wa serekali za Vijiji wote wa CCM siku ya Ijuma 03/06/2016 kuwaomba wamsafishe mkuu wa Wilaaya kwenye vyombo vya habari na kwa wananchi ili abaki hapa au ahamishwe kwenda wilaya nyingine,kweni hali sio nzuri,Kumbuka hadi sasa wenyeviti wa vijiji wamegawanyika sana wengine wanaungana na Mollel Mbunge na wengine DC sasa wanaomuunga Mbunge Mkono ni wengi sana,sana.
Kumbuka hadi baadhi ya Jumuia zetu za chama zimesha anza kugawanyika kwenye swala hili, Hali yetu ya chama ni mbaya akishaondoka Mkuu wa wilaya mambo yatakuwa Manzuri sana ila akibaki tutapasuka zaidi.
Mambo sio shwari tena ndani ya CCM Siha