Recent content by Patricia 'baby'

  1. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu Jane wa halimashauri ya Ilemera-Mwanza anatafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi na mwalim yeyote wa halmashauri ya Kasulu-Kigoma(idara ya msingi) ili amfuate mmewe
  2. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu Jane wa halmashauli ya Ilemela-Mwanza anatafuta mtu wa kubadilishana nae toka wilaya ya Kasulu kumfuata mmewe idara ya -msingi
  3. P

    JamiiForums Tanzania Lemutuz na Instagram Part 2

    Jamani Le mutuuuz waooo mambo vp baby?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Le Mutuuuz where you are?

    Yupo kwa insta? Mbona wengine iko anamsema vibaya au ndo ma-haters?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Le Mutuuuz where you are?

    Jamani huyu mkaka sijui yuko wapi tangu nilipomwonaga kwe ile party mwezi uliopita siku hiz haonekani hapa kwa Mjini.Nayeye yuko alinambia ni mtoto wa kwa mkubwa wa serikali na hata ndie alieniunganisha hapa Jf.I enjoyed dat day nakufanya nipende ishi kwa Tanzania.So kama kuna mutu yuko na...
Back
Top Bottom