Kuhusu hili la muungano,ama kweli inasibitisha mapungufu tuliyo nayo watu weusi,hoja zao za kutaka kuvunja muungano ni za kipuuzi na kitumwa,mfano wa hoja hizo ni kama eti misaada mingi inapitia serikali ya muungano hivyo wazanzibar hawafaidi!,mara ooh! tukijitenga tutapewa na nchi za kiarabu...