Hali ni tete sana, wanaingia kwenye mambo ambayo kiukweli asilimia kubwa wanajuta. hata awe na kazi sehem lakin anajikuta ameingia kwenye mengine ambayo wanaita side hustle lakin ukweli wanapata wakati mgumu sanaa
Katika hizi harakati za ajIra nimegundua pale unapikuwa na haja ya ajira unaomba Mungu akupe ajira. Na Mungu naye anafnyaya yake unapata ajira.
Sasa ukishalaya tunasahau kuiombea hio ajira iwe na amani na manufaa kwako na maendeleo yako
So kama ulivyoomba kupata ajira yako sasa iombe ajira...
Kujua sio kosa hata kidogo
Sema mda mwingine unafumbia macho hata kama unajua
Kwan ukisema kila kitu useme ndo unajikuta ndoa au mwanamke una achana naye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.