Mkuu weka akiba ya maneno coz najua unafahamu kwamba muda haukuwahi kudanganya. Nina imani baada ya miaka mitano utatamani kuufuta huu uzi ama utakaa mahali nakuona ulikosea kufikri sana.
Tunza hii tarehe
Well said mkuu for sure kilichotokea hata anguko la lema Arusha Ni mwitikio mdogo wa watu kupiga kura.... CCM imepata kura zake za 2015 lakini za CDM zimepungua maana hawakwenda kupiga kura
Jomba CCM haina wanachama 17mil nimnashindwa kuelewa ccm imegawa kadi 17mil...Tunza haya maneno na baada ya mchakato kumalizika utajua ulikuwa unashikiwa akili..
#akili ndogo mtaji wa ccm
Hahaha asee kweli mtaji wa CCM ni ujinga..Yani kitendo cha kushindwa hata kuargue Ni tatzo mkuu..Ungejiuliza kwamba Kama wanna uhakika wa 22mil voter mbona wanna teseka
Hakuna mahali popote na kwenye hutuba yeyote lissu ameeleza kuhus ushoga Sasa jomba mbona unakuwa Kama..
Mjinga ambae anaona ukweli,anasikia ukweli lakini anaamini uongo
#akili ndogo mtaji wa ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.