ni mbegu mbaya ya chuki inapandikizwa kati ya watawala na na wenye mtazamo mbadala(upinzani),lazima watawala wajuie kuwa watanzania wote hawawezi kuwa na mtazamo sawa.
mtoa post hajui hata taratibu na sheria zinasemaje kuhusu kuandamana na kufanya mikutano na bado anaangaliwa hivi hivi kwa post za kuwagawa wananchi,elimu hapa inahusika.
uchumi haujengwi kwa kukamatakamata ,serikali iwe na focus kwenye maendeleo ya wananchi ,wafanye utafiti wapi tunakwama kama taifa ,haiwezekani upate mrahaba wa 4% kwenye madini utegemee maendeleo kwa kuzuia upinzani,haiwezekani viongozi wapatikane kwa ukada bila kuzingatia professionals...
ccm inaogopa nini ,mbona katiba ipo wazi,unawezaje kutenganisha siasa na maisha ya kila siku,?
kukubali ccm wafanye siasa na kukataza wapinzani c kugawa taifa,??mbona hata kuongoza ni siasa nchi na majimbo
ni siasa??tupingane kwa hoja sio nguvu na vitisho najua ndio utamaduni tuliozoea.
Mazingira ya kisiasa uliyoyataja ni tofauti na tanzania na majimbo mengi uliyoyataja yanajitegemea kiuchumi mpaka kisiasa hauwezi kulinganisha na taanzania ambapo unategemea bajeti kuu mpaka kulipia bili ya umeme na maji,manispaa zimeondolewa kodi ya majengo ambacho kilikuwa ni kipato kikubwa...
hivi unatenganishaje siasa na maendeleo,au viongoz wetu hawajui nini maana ya siasa,mpaka anachaguliwa kwa nafasi ameipata kupitia siasa, leo wanakataa siasa ,au hawajui kama wapo kisiasa,???wasomi wengi walitenganisha siasa na maendeleo na uchumi mwisho siku ,wanasiasa ndio wanawaamuamlia...
watu wanashindwa kutofautisha kati ya siasa na kampeni ya uchaguzi,siasa haiwezi kuwa na mwisho kampeni ndio ina mwisho ,kuisha kwa siasa ni kufutwa kwa vyama vya siasa.
nchi inatakiwa iongozwe na viongoz wenye maslahi kwa taarifa yaani wazalendo wakiongozwa na taasisi imara inayotambulika kikatiba(usalama wa taifa).na hiyo taasisi itambuliwe kikatiba ambapo rais hasiweze kuiingilia ingawa anaweza kuteua uongoz wake,hapo ndipo tutakapo pata maendeleo ya...
madiwani wanasema hakuipita kwenye utaratibu wa uuzwaji na msajili anatetea uuzwaji yeye ana maslahi gani,na je uda ilikuwa na thamani ya bilion 5.5tu,yaani yadi, majengo,mabasi,ni kiasi cha bilion 5.5.hapo inaonekana shida ipo.vp kuhusu hela za kuuzwa kuingia kwenye account ya mtu binafsi.??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.