Recent content by PATASHIKA

  1. P

    Uhalisia wa GPA na uwezo wa mtu kiakili

    Utaratibu wa kumpima mtu kwa kutumia GPA ni wa kitaalam (nadhani), ni kweli mpango unaweza kuwa na changamoto zake, la msingi na ninalokiri (kwa uzoefu), wapo waliopata GPA kubwa kwenye utendaji(application) kwenye field maeneo yao ya kazi wakawa vilaza,na wapo walopata GPA ndogo wakatisha...
  2. P

    Mwenyekiti wa CHADEMA, wabunge Lissu, Msigwa, Sugu, Silinde washikiliwa polisi Iringa!

    mwenzio kaamuru mauaji akapandishwa cheo,wewe ukkikalia kiti hichohicho utaacha kufuata mkondo wake?
  3. P

    Kazi ya Mwakyembe yaanza kuonekana uwanja wa ndege Dar

    Tungekuwa na na WAMWAKYEMBE 10 hivi, nchi ingetlulia, hapo anajitafutia bonge la maadui!
  4. P

    Walioficha mabilioni Uswisi wahojiwa!

    Tatizo la serikali yetu laweza kuw MFUMO WAKE! vinginevyo madudu hayo yasingekuwepo kwa kiwango kikubwa hivyo.
  5. P

    Kwanini wanawake wa kizungu wanawapenda Wanaume MaRasta?

    Nadhani ni kutokana na IMANI kuwa wengi wao (kama si wote) wanajiheshimu, pia ikumbukwe kuwa wazungu wana "mind' sana nywele za kiafrika, halafu ziwe ndefu! humdanganyi kitu.
Back
Top Bottom