Ni kwa kuwa swala linashughulikiwa na mamlaka husika. Wanafuatilia wakisuburi matokeo ya mawasilisho bungeni. Baada ya hapo kama hawataridhika utawaona!
Kuzomea picha ni kuwapelekea ujumbe wenye picha. Ndiyo maana aliyechora picha kisha akaichoma/kaichana alifungwa kisha katoweka. Unadhani kwa nini hayo yalitokea. Kama ni upuuzi na ubatili kwa ninj alifungwa na kisha "kutoweka".
Viongozi wa chama tawala hawawezi kukubali mabadiliko yanayoweka uwanja sawa kwa wote kwa kuwa wao na vizazi vyao na vya marafiki zao wanataka kutawala milele. Wamejazana serikali kuu, halmashauri, idara mbalimbali, taasisi, mashirika ya uma na majeshi. Ndiyo asili ya jeuri yao kuwa hakuna...
Hiviii kazi ya TAKUKURU ni ipiii? Hata hayo hawayaoni kuwa ni rushwa! Kitengo hiki kingefutwa tu maana sioni kama kina tija kwa taifa na watu wake bali ni hasara tupu.
Kukomesha wizi huo tubadilishe mfumo wa kupiga kura. Badala ya makaratasi wapiga kura wasimame nyuma ya mgombea wanayemtaka badala ya makaratasi kwa kuwa hata TAKUKURU licha ya lawama zinazotolewa wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachotokea. Au na wao wanasubiri wapelekewe majina au wanapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.