Nashindwa kuelewa. Mtu na akili timamu anasema tanganyika imeinyonya Zanzibar kwa miaka yote ya mungano. Loooo!!!!! Kuna utajiri gani Zanzibar ukilinganishwa na utajiri ulio Tanganyika. Hasira za kutoruhusiwa kujiunga na OIC zinawafanya wakose kuona ukweli kuwa wao ndio wamebebwa sana na...
Ungekuwa unafuatilia miradi ya wazara ya nishati under BRN,( ipo 29) ungejua kuwa Kenya hawana cha kutuzidi. Mradi wa Mtwara ambao ni wa TANESCO na Symbion (ya Marekani) ni 600 - 800MW. Bomba la gesi 2015 na miradi ya uzalishaji Dar ni karibu 3000MW. Ngoja bomba la gesi likamilike utasema...
Mimi binafsi Wazanzibari huwa siwaelewi hata kidogo. Ni watu wa kulalamika tu. Ebu tuchukue population ya watu wa Dar es salaam, ni kubwa kuliko Waunguja na Wapemba. Kuna wilaya ambazo ni kubwa kuliko Zanzibar na Pemba. Maliasili zipo za kumwaga Tanganyika. Kwa ufupi hawa watu hawajui kula na...
Ndugu upo kwenye computer, hata huwezi kutumia cm kuthibitisha ukweli. Hujauona ushahidi katika maandishi hayo? inaelekea nawe unaweza kuwa na tabia kama kapuya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.