Recent content by pasuakichwa2011

  1. P

    The Hangover Part II 2011

    Kama mtu hakupenda iyo movie atakua anamatatizo ya akili
  2. P

    Nimeamini kwamba ugeni sio kitu kizuri

    Jamani mimi pia nina kamba ya mguu,nawaomba mnikaribishe
  3. P

    Kubandua Makaratasi ya chupa ya bia.

    Yaani hii mada imenikumbusha mbali sana,kuna siku moja nilikua na Makregan wa Origino Komedi ndo nikawa namshangaa anabandua hayo makaratasi nikamuulizo kwa nini unabandua hayo makaratasi akaniambia ni mazoea tu...yaani ndo kashazoea kubandua,ila chakushangaza zaidi nilikuja nikajikuta hata mimi...
  4. P

    TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

    Mimi nahisi kama watanzania woote mtakuwa kitu kimoja na mkaligomea hilo suala basi si dhani kama litakuepo,ila watanzania ni waoga ndo maana mnanyanyaswa.
  5. P

    Mume wa mtu

    Iyo ndo faida ya kuchukua waume za watu..
Back
Top Bottom