Nipo Dar es salaam. Nataka nyumba ya kupanga ya kati ya Tshs.150,000 hadi 250,000/= kwa mwezi, iwe na bedroom 2, na sitting room 1. Iwe na umeme, na maji karibu au ndani kabisa. Penye usalama. Ipatikane kati ya maeneo haya: Kawe, Mwenge, Mbezi (Kimara), Magomeni, Kinondoni. na maeneo ya karibu...