Recent content by pastory97

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Vp mkuu inakubali au tupe mlejesho kama unejaribu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna mtu ameenda kozi ya nyota, amesema amepata taarifa kua pale ccp wanaenda kuruta alaf kozi ya kopro walitakiw kwenda pale wanaenda sehem nyingine ili kusapisha kuruta, kwaio mambo yanaweza kua hadharan soon maafande tuendelee kushona,
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hahahhhah ahaah watu wamechoka
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    MUUZA CHIPSI AKIKWAMBIA KICHWA KAMA KIAZI, 🥔 DAA POLE SANA NDUGU YANGU, KWASABABU NI KWELI😁😁😁
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha masomo physics na mathematics

    Ni kweli ndugu yangu upo sahihi sana, hata namim kutafuta ni kutafuta pakuanzia ili mbeleni mambo yakae sawa, Plan yako umesha pata watu wangapi embu ni PM tuyajenge
  6. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha masomo physics na mathematics

    Naitwa Pastory Augustino Nipo morogoro Naomba kama kunamtu anafahamu sehemu yenye uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa anisaidie aisee, Level yangu ni diploma
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ni utangulizi wa pdf huo,
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Daa maisha bana Jana nmemfumania mchawi kaja gheto mm skuepo, nlichelewa kurudi nkamkuta nadokoa nyama, Ikabidi nimuulize iki kweli ndo kilichokuleata apa.,
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kozi ni mwezi wa kwanza kwel itakua sio kwa kuchelewesha iv majina, ila maafisa simemaliza juzi koz ya nyota
  10. P

    JamiiForums Tanzania msaada wa tangazo la NACTE

    Ngoja waje
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nacte

    Selection bado
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nacte

    Apo nimekupata mkuu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nacte

    Nasemea sasa wakati wa kukuchagua kama ivyo wanakuchagua IPI kati ya afya na ualimu? Au wanakuchagua zote mbili
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nacte

    Samahanini jamani naomba kuuliza Kama mtu amaomba mchanganyiko Yani mfano ameomba vyuo viwili vya afya na viwili vya ualimu kwa ngazi ya diploma, wanaangaliaga nini kukuchagua chuo kimoja wapo? Na ukizingatia vyuo vyote unavigezo. Msaada...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hodi

Back
Top Bottom