Recent content by pastorletta

  1. P

    Je, Kati ya Halima Mdee na John Mnyika nani mkweli sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Uhalali wao utategemea Chama wanachokiwakilisha kuridhia kuwa kilituma majina yao kwa tume kama sheria inavyodai jambo ambalo katika kipindi cha hapo nyuma chama kimekuwa kikikanusha. Mpaka hapo chama kitakapotoa tamko hilo bado mtu anaweza kuwaita "wanaodaiwa wabunge"
  2. P

    Mitihani yote amefaulu, vizingiti vyote amevuka bado kimoja tu

    Kama sababu ya kupigwa risasi ni uadui wa kisiasa hiyo ni sifa tosha ya kumfanya kiongozi
  3. P

    GE2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

    Kwa mtu anayependwa unategemea kumsimamisha asihutubie kunapunguza idadi ya watakaomfuatilia hata akipumzika chini ya mnazi?
  4. P

    GE2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

    Mikutano ya ndani na huku kutembea anakofanya Dar ni kupi kuna athari zaidi kwa wale waliokataza na waliowatuma? Hasira hasara
  5. P

    Kwanini Lissu, anang'aa hivi?

    Kwa wapenda amani na wanaothamini haki na maendeleo ya watu anaonekana kama mkombozi
  6. P

    RPC Pwani, Wankyo Nyigesa: Tutakesha na Tundu Lissu, ndiyo kazi yetu

    Kushindana na aliyekuzidi akili hakuhitaji nguvu
  7. P

    Nimehama CHADEMA kwasababu wanafanya nchi isiwe na maendeleo

    Kwani wao ndiyo wanaofanya manunuzi yasiyoidhinishwa na Bunge?
  8. P

    CHADEMA wanafanya Janja Janja kumtangaza Mgombea Urais

    Kwa nini watu wanateseka kwa ujio wa Lissu? Na mara nyingine ni hao hao waliokuwa wanasema kwa nini harudi nyumbani. Dhamira zinawasuta
  9. P

    Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

    Na anayeangalia tarakimu ana makosa gani? Kama siyo ya umuhimu kwa nini iliandikwa?
  10. P

    Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

    Mnatetea uzembe ili uwasaidie nini? Na aliyekosea atajisahihishaje ikiwa anatetewa? Kusema kuwa kuna makosa kunagharimu nini?
  11. P

    Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

    Figure iliyoandikwa kwenye jedwali inasomeka 30,000 maana zile sifuri tatu za mbele zimefutwa
Back
Top Bottom