Recent content by pastor masumbuko

  1. pastor masumbuko

    Mrejesho: Mimi na mke wangu tumezika tofauti zetu, lakini mdogo wake hataki kuondoka kwangu

    Sijafanya uzinzi, bwana anaporuhusu jambo yy mwenyewe haliwezi kuwa ni dhambi,
  2. pastor masumbuko

    Mrejesho: Mimi na mke wangu tumezika tofauti zetu, lakini mdogo wake hataki kuondoka kwangu

    Watu wa MUNGU hamjambo? Baraka za bwana ziwatangulie. Tulikuwa na ugomvi na mke wangu kwa Muda flani na ikapelekea yeye kuondoka kwangu na yeye na wenzie wakafungua huduma yao sehemu nyingine, walidai kuwa naendesha kanisa ndivyo sivyo. Mdogo wa wife hakuondoka na dada yake alibaki akiishi...
  3. pastor masumbuko

    Israel yakanusha ndege yake kutunguliwa na Syria

    Ndege iangushwe kusiwepo hata picha ya mabaki ilipoangukia? Ndege ikitunguliwa haiwezi kuwa siri, humo ndani ya ndege Kuna binadam ambae maisha yake yanakua yamepotea, huwezi kuficha jambo kama hilo
  4. pastor masumbuko

    Mke wangu anataka kurudi kwao

    Wadau shalom Bwana asifiwe Mwaka 2014 mke wangu aliingiwa na tamaa yeye na wenzie wakajitenga na kanisa wakaenda kufungua huduma yao mahala pengine, hawakua na eneo hivyo wakawa wanatumia darasa la Shule ya msingi hadi sasa wako humo, aliendelea kuishi na mm kwa miezi kama 2 hivi baadae...
  5. pastor masumbuko

    Dhana ya wanawake kulipiza kisasi katika ndoa

    Mtumishi umesema vizuri, ubarikiwe, somo la uzinzi kwa wanaume katika ndoa tumelizungumza mara nyingi katika majukwaa mbali mbali na ndio chanzo cha vurugu katika ndoa, ndio maana mwanzo kabisa nimekiri kuwa wanawake hulipiza kisasi baada ya wanaume wao kuchepuka kwanza, hivyo ni somo...
  6. pastor masumbuko

    Dhana ya wanawake kulipiza kisasi katika ndoa

    Watumishi mbarikiwe sana Nimetumwa kuja kwenu kuwakumbusha wajibu wenu katika ndoa Kumekuwepo na wimbi kubwa la akina dada kutoka nje ya ndoa zao kwa ajili ya kulipa kisasi baada ya kuwashika au kuwafuma waume zao wakizini nje, hii ni kinyume na fundisho la Biblia na imekatazwa Kwa mujibu...
  7. pastor masumbuko

    Napenda wanaume wa kiarabu

    Njoo kwa yesu ukombolewe, achana na mawazo ya ngono
  8. pastor masumbuko

    Nimegundua wanawake wengi (85%) wanateseka sana ndani ya ndoa

    MUNGU alie hai yupo atawapigania wote wanaoteseka kwenye ndoa Katika jina la yesu
  9. pastor masumbuko

    Kanisingizia natembea na mke wake ilihali mimi ni mchungaji

    Watu wa MUNGU, bwana asifiwe, pia naomba niwatakie walio katika mfungo funga njema, MUNGU awatangulie njia nzima hadi mwisho wa Ramadhani. Wakuu nina jambo limenisibu siku ya jana naomba mawazo yenu kama watu wazima. Jana muumini wangu mmoja alinipigia simu kuwa ana shida ya kuonana na mimi...
  10. pastor masumbuko

    Binti kwanini unaenda kupanga kabla hujaolewa?

    Mtumishi kumbe tupo kwenye dunia mbili tofauti, Yaani bila aibu unazungumzia Uhuru wa kugegedwa? Uhuru wa kwenda disco? , Uhuru wa kutembelewa na boyfriend? Uhuru wa kurudi nyumbani usiku wa manane? Haya yote sio ndio uvunjifu wa maadili tunaoukataa? Ww ungependa kuoa mke ambae watu...
  11. pastor masumbuko

    Binti kwanini unaenda kupanga kabla hujaolewa?

    Binti mawazo yako ni mazuri, hata hivyo bado Kuna gap kati ya maelezo yako na uhalisia Pamoja na kuwa kuishi nyumbani hadi wakati wa kuolewa sio guarantee ya utu wema lakini utafiti hata ule wa observation au uzoefu unaonesha kwamba wanawake wengi wana tatizo la kuangushwa na majaribu...
  12. pastor masumbuko

    Binti kwanini unaenda kupanga kabla hujaolewa?

    Usisite, nenda mwanza ukasome, mada hii haiwahusu kundi hili Mada hii ni kwa wale waliomaliza elimu yao, na wameanza kazi, na kuamua kuhama nyumbani kwenda kutafuta Uhuru Jitunze ukiwa chuo, epuka zinaa hadi siku ya kuolewa, ishi maisha ya kumpendeza MUNGU na utafanikiwa
  13. pastor masumbuko

    Binti kwanini unaenda kupanga kabla hujaolewa?

    MUNGU akutangulie katika njia zako na akupiganie na kukushindia vita zote za maisha, watesi wako wakashindwe na jina lako liandikwe katika kile kitabu cha uzima
  14. pastor masumbuko

    Binti kwanini unaenda kupanga kabla hujaolewa?

    Kwenye maelezo yangu nimesema kwamba waliopata kazi mikoa tofauti na wazazi wao wanaweza kupanga, pia nimesema sio guarantee kwamba binti alieko nyumbani atakua automatically na tabia nzuri, lakini hiyo haindoi ukweli kuwa msichana kuondoka kwao na kwenda kupanga bila sababu ya msingi ni jambo...
Back
Top Bottom