Huko aliko naye anajiuliza kama mume kweli😂😂
Ila mimi mke hawezi kwenda kwao kwa ajili ya harusi kwa wk 3. Anafanya nini kwani?
Hongera sana mkuu kwa kuwa na mke Bora kabisa.
Kwa taarifa yako, romance inafanya finishing ya utoto mliouanza.
Usiwe serious sana na hawa watu, treat them like babies. Otherwise you'll become a certified permanent senior bachela.
Najua bado ni mapema sana na sio kwamba najipingeza. Nasema kile kinachoendelea.
Kuhusu jamaa kurudiana na mke wangu ni % ndogo sana kwani kuachana kwao kuliambatanq na mambo mengi.
Hata hivyo nilishamweka wazi kuwa jamaa akitokea na akaamua kumrudia aweke wazi, nitakubali matokea ingawa ni...
Mkuu, umefikiria waliobakwa?
Naamini unajua single mothers wamezaa na wanaume. Je, waliowakimbia hao single mothers ni bora kuliko wanaoamua kuwaoa?
Hili la kukaa kimya nafhani hata wewe linakuhusu.
Mkuu, kunywa maji upunguze jazba. Kisha jipige kifuani mara 3 jiambie Mimi kidume.
Nahisi...
Kwani alifiwa na nani yake?
Alikaa muda gani msibani?
Uhusiano wake na marehemu na muda aliokaa msibani vinaweza kujua uhalali ya huyo mke kunyoa.
Ni jambo fikirishi sana:. Mtu uko msibani then unapata wazo la kunyoa vuzi na kulitekeleza huko huko msibani
Mke wangu nimemzidi 17 yrs. Nikijiita mi mhenga au mzee huwa anakasirika sana, anasema mimi bado ni kijana. Mara nyingi huwq tunaingozana sehemu mbalimbali. Nikijiangalia nywele zangu za kichwani na kidevuni zimeanza kubadilika rangi kwa kasi sana. I'm 48 yrs old lkn kwake mi bado ni kijana...
Bado hiyo idadi haitoshi kuwabwaga single mothers.
Kumbuka pia wenye shida ktk ndoa sio single mothers pekee, hata walioolewa wakiwa bikra wana shida zao.
Tabia ya mtu na ukomavu wa akili huamua uhai wa ndoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.