Kasome uzi ulipoanzia unatetea kitu ambacho huwezi thibitisha, wewe ni mjinga na ujinga ni sifa. Ukitaka tukuelekeze uache ujinga au uwe mpumbavu kwa kugoma kuelewa.
Sema babu na baba zangu walinikaririsha habari za roho lakini sina uthibitisho nazo.
Unatetea kitu ambacho hukijui na huwezi kukitetea.
roho ni stori kama ya serer mythology kule senegali
Mkuu,
Kuna watu hawawezi kubali dini yake kuwa criticized sababu walishakuwa indoctrinated kwamba hiyo ni blasphemy ( kufuru).
Lakini pia tusitukane imani za upande wowote ule. Tujadili kwa staha.
Kasome reply zangu zote humu jf sijawahi amini story za mungu wala shetani.
Hivyo ni pain relief mechanism unajaribu kujitengenezea kwa kuwa nimegundua nia yako ovu.
Jaribu njia nyingine ya kupandikiza chuki hii huwezi.
Yaani Mkuu wanawake wapo wengi sana.
Mtu kufanya hayo ni maamuzi yake tu ila sio kwamba wanawake wanahitaji pesa ndo upate mapenzi.
Mwanaume anayefanya hayo ni tayari alishaathirika.
Wanawake wapo wengi wasio na idadi.
Mkuu,
Sijakwambia kama kubishana sometimes negative comment kama hizi zinaua ndoto za watu wengi wanao mtazama shamsa kama inspirational kwao.
Anapoona meseji kama hii unamjengea kwamba no way kufika pale halipo mpaka ajiuze anakata tamaa at first place bila kujaribu.
Unaweza kuwa kweli...
Unaweza thibitisha ulichoongea ?
Unaweza kuonyesha huyo jamaa wa benki anamlala? Embu tuma hizo video tuzione na sio stori za kutunga na stress zako za maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.