Recent content by pashy

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    Unajua maana ya skyscrapper kweli?. Omba msaada wa mawazo usaidiwe
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza, jiji pekee nchini lenye uwezo wa kuleta balance of power dhidi ya Dar

    Mleta maada ana maana pana sana, falsafa za wasomaji ndiyo tabu. Hatupendi kusoma na kuelewa kilichoandikwa na ndiyo maana kumejaa mwanza vs arusha nyingi ktk hii thread. Ondoeni ukanda, uzi hauhitaji mapenzi ya mikoa yenu. Huu uzi unazungumzia fursa za kiuchumi zinazopatikana mwanza na namna...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanza nalo Jiji?

    Mlimalize kweli elimu ya shule ya msingi?. We nawe unasema umetembea hahahaha kuna shida hapa. Anyway unatembea bila malengo kwahiyo ulipoteza mda na hela yako bure. Au na wewe una dope's syndrome. Yaani unabisha wakati jibu unalifahamu.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanza nalo Jiji?

    Pia watu hufuata palipo na maendeleo kama hujui hilo pole sana.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanza nalo Jiji?

    Kila kitu Arusha inazidiwa isipokuwa hoteli tu, hotel za Arusha kidogo zipo juu sababu ya utalii, otherwise Arusha kwa mwanza bado sana. Na wingi wa watu wa mwanza si tu kwa wazawa wa mkoa huu bali watu kutoka mikoa mbali mbali ikiwemo Arusha wanahamia mwamza kwasababu ya fursa nzuri za...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanza nalo Jiji?

    How local mwanza is??. We akina baruan muhuza, na hao wengine uliowataja walishakuambia kuna u_local gani mwanza au unataka kutuaiminisha kuwa ulichoandika ni sahihi?. We hata mwanza huijui unasubiri usimliwe. Ungenyoosha maelezo unachoongelea wewe ni kwa category ipi ili tunaoyafahamu haya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanza nalo Jiji?

    Haya maneno yanasitahili facebook na siyo huku JF. Yanashusha personality yako na yako unatufanye tushindwe kukutofautisha na huyu kiumbe DOPEBOY!!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanza nalo Jiji?

    Nakupongeza umeanika madhaifu yako, nafikiri sasa unajibu. Usikae kukariri nakumatt, halafu usijiite msomi wakati hata chuo haujamaliza.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanza nalo Jiji?

    Ulitaka ya karne gani we msomi?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hili kabila litanikosesha mke

    Hahahahahahaha daaaah!! Kaya ya basukuma ibonelwa gete.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza, jiji pekee nchini lenye uwezo wa kuleta balance of power dhidi ya Dar

    Maneno mengi mno, sema Arusha ni mkoa wa KITASISI, inakuwa kwa nguvu kubwa ya serikali wakati Mwanza inajengwa na WAZAWA. Hata hivyo Arusha bado sana. The geographical potentiallity of mwanza city sounds more better economically. Kama hukusoma uchumi huwezi kujua haya. Ndio maana pamoja na...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza, jiji pekee nchini lenye uwezo wa kuleta balance of power dhidi ya Dar

    By the way mwanza ni jiji la pili na Arusha la tatu.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza, jiji pekee nchini lenye uwezo wa kuleta balance of power dhidi ya Dar

    We jamaa umenena, tatizo la watu wa Arusha ni ubishi tu, kuna mmoja aliingiza uwanja wa KIA na hospitali ya KCMC utafikiri vipo Arusha siye tulimdharau maana hakuwa na pointi.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza, jiji pekee nchini lenye uwezo wa kuleta balance of power dhidi ya Dar

    Uchangiaji wetu umetawaliwa na mapenzi ya majiji yetu tutokayo hivyo inapelekea kutukanana na kutufanya tuonekane wahuni. Kwa factor hizo tu kuna wengine tunashindwa kuchangia chochote maana tunapoteza ushawishi wa wadau kusoma thread za namna hii. Kwa ninavyojua Arusha ina umuhimu wake na...
Back
Top Bottom