Recent content by Paschal Matubi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

    Mkuu, Pambana na aliyeandika hiyo makala gazetini na siyo mimi niliyevutiwa nayo. Bahati nzuri contact zake kaonyesha.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

    TITLE: UKWELI KUHUSU NAMBA YA SIMU YA KIMATAIFA "+259" ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 PUBLICATION: RAIA MWEMA, pg. 12 Juni 8, mwaka huu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud Othman Masoud alitoa hotuba ambayo sehemu ninayoinukuu anasema, "Kwenye serikali hiihii ambayo...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

    Hoja siyo ku criticise. Hoja ni kwamba jamaa humu wametoa maelezo yanayoeleweka hadi tusioelewa tumeelewa. Mimi mmojawapo sikuwa naelewa lakini niliposoma thread hii nimeelewa. Tabu ni baadhi yenu kama wewe mmeng'ang'ania kilichomo kichwani na ambacho ni wrong. Kwanza waliotuelewesha hadi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Corona: Vita ya kiuchumi Tanzania dhidi ya nani?

    Magobe, Hivi upo. Ulipotea siku nyingi.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Severine Niwemugizi: Kukosekana kwa taarifa na takwimu za kuaminika kuhusu hali ya Korona kuna hasara zaidi kuliko faida

    Ndiyo hivyohivyo. Niwemugizi ksongea kiroho. Halafu mapunguwani wanakimbilia kidunia. Pia usidhani utaratibu wa kumteua kardinali ni sawa na rais kumteua waziri.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Severine Niwemugizi: Kukosekana kwa taarifa na takwimu za kuaminika kuhusu hali ya Korona kuna hasara zaidi kuliko faida

    Watakatifu mashahidi wa Uganda walipewa utakatifu kwa kusuguana na watawala. Kigezo cha ujasiri katika kanisa katoliki ni kukemea viongozi wanaojidhani wameshindikana kama akina Hitler, Napoleon, Gorbechov.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Severine Niwemugizi: Kukosekana kwa taarifa na takwimu za kuaminika kuhusu hali ya Korona kuna hasara zaidi kuliko faida

    Usidhani kila mtu ni mbumbumbu kama MATAGA wenzako. Muda wa miaka sita wa NiweMugizi uliisha. Halafu upumbavu wako unadhani ukardinali unarithiwa.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Severine Niwemugizi: Kukosekana kwa taarifa na takwimu za kuaminika kuhusu hali ya Korona kuna hasara zaidi kuliko faida

    Askofu NiweMugizi amekwa Rais wa TEC mara mbili hadi mwaka 2006.
  9. P

    JamiiForums Tanzania TCRA: Laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri, Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama

    PIN na PUK zipo tangu mwaka 1996 kwenye SIM card yako. Huu ni ushamba tu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu boresheni mtaala elimu ya msingi

    Kwani mahakamani ni mahali pa waliosomea sheria au ni mahali pa mimi na wewe kupata haki?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Hajawahi kuomba fadhira yoyote toka serikalini. Kama ni ile ndege ni JPM alijipendekeza mwenyewe kuipeleka. Kanisa lisingekosa ndege ya kumsafirisha toka Moshi hadi Dar. Vilevile jiulize kwa nini alianguka wakati jajawahi kuugua hivyo maishani mwake.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Fuata ulichoagizwa na kanisa. Kama huwezi toka katika Kanisa Katoliki jiunge na Dini iliyoanzishwa na Serikali.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Nani anasumbuliwa. Si ni wewe usiyetaka ukweli anaousema Askofu.
Back
Top Bottom