Ndio sisi ngumbaru tunataka kupambana na hao maadui watajeni basi.Ungelikuwa unajua uchumi wewe, usingekuja na mada inayokuchora namna hii. Hii nikwa kuwa una upeo mdogo sana unaoishia kwenye kulima korosho na kusafirisha makinikia. Ninashauri Dr. Magufuli anzishe elimu ya ngumbaru kwa kujenga uelewa kwa wanaojua kusoma na kuandika.