Material girl ni wadada warembo wanaoishi fake life,huyataka maisha ya juu na huigiza kuyaishi lakini kwa kujiweka kwa wanaume walionazo.nahuendeshwa na tamaa zao
Wapendwa nisaidieni nimeibiwa simu ambayo mpaka sasa iko hewani mtu anapokea na haongei na akiongea ananizungusha tu,je kuna jins navoweza track kwa kutumia iyo namba ya simu ?maana emai namba yake sikua nayo
hii hapa ianatokea unapotaka ku share picha moja ,sim inakataa na kuandia sorry the systeam of android is stopped lakini neno ilo linatoka fastaer mno na kuliondoa upes ,unapo cklick picha zaid ya moja inaweza ku share lakini inabagua ina share whats upp na facebook bas mitanadao kama inasta na...
samahnn samsung yangu s6 inashindwa kuampdate kutkoka vesion moja kwenda nyingine jambo ambalo linaifanya iwe very slow na ukienda setting kwenye software update inashindwa kufungua kuleta ile menyu ya ku apdate .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.