Recent content by Pascal Msoma

  1. P

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Gambia, umezidi kuipunguzia Afrika heshima nje ya Afrika!

    Huyo kaleta habari gani za kipuuzi, sasa mtu kushindwa halafu hataki kuachia madaraka nini kifanyike?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

    Wasabato, ni wanafiki, wameendekeza majungu na wivu zidi ya imani nyingine
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

    Huyo mzee bora angekaa kimya tu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwa waliozoea vya kunyonga, kwa Maxence Melo wamegusa nyaya!

    Watu bado wajinga, sheria za Nchi zinakandamizwa halafu unaleta mawazo yako ya kipuuzi kuwa tuifate serikali?? Your very ignore
  5. P

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya wamtaka Rais Magufuli aruhusu mikutano ya siasa

    Eu bora waseme kama nchi niya mfumo wa vyama vingi kwann rais wenu azuie mikutano?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiendelea kuongea namna hii atafanikiwa sana

    Kweli mnaota ndoto za mchana kwa kauli ya kusema mayala maana yake njaa???!!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wa Dini nchi nyingine wanafiki wakubwa kama hawa wa Tanzania?!

    Hapo umenena, wakati wa kikwete walitoa kweli matamko lkn sasa kimyaa. Wanafiki wakubwa hawa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha ITV kufumbia macho tukio kubwa la kuvurugwa kwa uchaguzi wa Mayor Kinondoni

    Nina mpango wa kuacha kuona itv kama nilivyo acha kuona tbc
  9. P

    JamiiForums Tanzania Meli vita hatari zaidi ulimwenguni kwa sasa

    Marekani sio taifa la mchezo tulieni tu kama hamjui historia ya Taifa lile
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Mkuu nimekusoma lkn usivunjike moyo utawala huu wa kijinga una mwisho
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ningesitisha uanachama wa Lema

    Ccm wameoza wamechoka wote
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema

    Bado lowassa anawatesa tu na mtakoma mwenzenu kafariki dar.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema

    Wewe uliye comment kuwa lema kununuliwa sizani kama akili yako ni timam
  14. P

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya Kafulila: Mpambano bado unaendelea Tabora

    Komaa kafulila Mungu awe nawe ili haki itendeke
Back
Top Bottom