Mtu ukiwa mkweli wa type yangu, kuwaeleza ukweli wanaodanganywa, utaonekana an enemy of the people!, mimi hili la kupuuzwa nimeisha lizoea, ila mwisho wa siku, ni ukweli ndio utasimama mpaka mwisho!.
-
Kuwa Mkweli Kunaponza!, Nilidhani Unawa Cost Malofa na Makapuku Tuu, Kumbe Hata Vigogo...
Ni kweli, mgonjwa yeyote akifika hospitali, hupatiwa tuu kwanza huduma ya kwanza, kuokoa maisha, kisha hufanyiwa uchunguzi, diagnosis kujua tatizo ni nini ndipo matibabu yaanze.
Mtuhumiwa anapitishwa kwenye commital proceedings kuthibisha kama kuna prima facie, akikutwa na kesi ya kujibu ndipo...
Sijawahi kufika mahakamani , sio kwasababu sipati wateja, bali ni kwasababu sijawahi kutafuta mteja.
Sio kila mwanasheria na kila wakili ni wakili wa litigations, kuna wanasheria kibao tuu hawaendi mahakamani.
Mimi nimeamua kuitumia sheria yangu na uanasheria wangu, kuwasaidia Watanzania kupitia...
Ni kweli, japo mimi ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, lakini sijawahi kufika mahakamani.
Hiyo inaitwa commital proceedings. Kwa kesi zote za capital punishment, zinatakiwa kusikilizwa na the court of competent jurisdiction, kwa Tanzania ni Mahakama Kuu, ili kuisaidia mahakama kuu...
Ni kweli, kwanza amemuweka pembeni kingio, kisha ndio akamchinja mwanae!.
Its very dangerus to play away with such too powerful People, she has to be extra careful asije akajikuta ni yeye anawekwa pembeni.
P
Mkuu Synthesizer, kwanza asante sana kuisoma makala yangu na kuianzishia thread, nimeitembelea kule, imekula hits za kutosha. Sisi waandishi wa habari wa magazeti, ukiisha andika, ndio umemaliza, hujui kama kuna mtu amesoma au ni umejiandikia tuu, hivyo kitendo cha mtu mmoja kusoma na kuchambua...
Mkuu Kamu,@kamundu,kwanza naunga mkono hoja kupitwa na wakati kwa ukimbizaji wa kizamani,hakuna haja kuendelea kutumia mafuta mazito yenye mi moshi yenye sumu ya hydromonoxde,wakimbiza mwenge wengi hufa vifo vya magonjwa ya ajabu ajabu!Tunaweza kutumia methene, butane na hata gesi!
Lakini dhima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.