Recent content by Paradis1

  1. Paradis1

    Did you know?

    Today French is an official language in almost 50 countries. 27 African countries speak French. It is spoken by more than 200 million people on five continents. It is also an official language of the United Nations, the Red Cross and many other international organizations. It is not...
  2. Paradis1

    Ofa ya kujifunza Kifaransa maeneo ya Mlimani City

    approved! Check him plz 0673- 0r 0753- 225148
  3. Paradis1

    Ofa ya kujifunza Kifaransa maeneo ya Mlimani City

    Naona mumekua watatu, kama muko serius nitaongea na mwl leo jioni, kesho nitawapa jibu.
  4. Paradis1

    Ofa ya kujifunza Kifaransa maeneo ya Mlimani City

    If you are 2 or 3 I can connect you to my friend who has just started, he may also need such a company
  5. Paradis1

    Ofa ya kujifunza Kifaransa maeneo ya Mlimani City

    Ada ni laki moja kwa mwezi; ni program ya miezi mitatu pekee yake. Ushauri wako nimeupenda sana!
  6. Paradis1

    Ofa ya kujifunza Kifaransa maeneo ya Mlimani City

    Habari zenu wakuu, Nimegundua kujifunza KIFARANSA pekeyangu ni ngumu sana, sipati watu wa kuzungumzanao. Nahitaji watu watatu wenye nia ya kujua lugha ya kifaransa, nitawalipia 40% kama motisha, ili niweze kukamilisha ndoto yangu haraka. Mwalimu ananifwata ofisini kwangu kuna nafasi tulivu ya...
  7. Paradis1

    PRE-FORM ONE FRENCH CLASSES

    Wow! nimetafuta mwl wa french muda mefu sana; cost zenu zikoje? na wakubwa munafundisha?
  8. Paradis1

    Nahitaji Mwalimu wa KIFARANSA

    Hata mm nimesoma basic, nahitaji kukijua kiundani zaidi
  9. Paradis1

    Nahitaji Mwalimu wa KIFARANSA

    Samahani mkuu, naweza kupata contact zake?
  10. Paradis1

    Nahitaji Mwalimu wa KIFARANSA

    Habari zenu wakuu; Nahitaji mwl wa KIFARANSA ambae pia anazungumza vizuri Kingereza ili atufundishe mimi na mke wangu nyumbani, kama unamfahamu tafadhali naomba unijulishe. Nitashukuru sana kwa msaada wenu.
Back
Top Bottom