hapa natia mkono na mimi angalia movie inaitwa midnight butcher train(2011)wanaonesha viumbe wanaoitwa reptiles ambao hadi gvt ya USA inawafadhili kwa kuwapa vyakula kwa nyama za watu na hii inasemekana ni secret society
kwahiyo movie zina reflect kitu hasahasa ulipoongelea ujio wa viumbe...
dunia hii tunaishi ila tunaongozwa na secret societies!!!
Illuminati
Reptiles
Na nyingine kbao kwahiyo codes zinapangwa tuh kwa kila tukio mkuu hapa umejibu kikubwa sana🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.