Recent content by Papaya

  1. P

    JamiiForums Tanzania Gari linauzwa (Suzuki Escudo-2005)

    Gari Aina ya Suzuki Escudo ya Mwaka 2005, Automatic..linauzwa Shillingi Millioni 25 tu. Bei inapugua kwa alie sirias kununua. Napatikana Dar Es Salaam Namba Ya Simu 0763 512 944
  2. P

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Zidini kutuhabarisha tafadhali
  3. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Hili swala sio lakufumbia macho inabidi hizi hila chafu zakuwanyima wananchi kuangalia kinachojiri bungeni zikomeshwe. Mwenye clip ya Tundu Lissu alivochana chana Muungano leo aturushie plz
  4. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Anaedai muungano ulindwe kwa gharama zote sawa lakini kabla hatujafika huko leteni kwanza hati ya Muungano tujue tunalinda nini
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Mwenye clip tafadhali turushie ikiwezekana. Ila inabidi tujiulize sana haya yanayoendelea kuna kitu hakijakaa vizuri kuhusu Muungano na tunafichwa
  6. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Kuna kitu watanzania yunafichwa hapa jamani tuamkeni kabisaaa hii haikubaliki. Mwenye hii hotuba ya Tundu Lissu atutumie clip humu jamani
  7. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Jamani watanzania inabidi tuamke kwanini wamekata wakati Tundu Lisu anahutubia??? Ni kwanini tunazibwa maskio kuskia upande mwingine???? Kwanini tunatakiwa tuskilize upande mmoja tuu??? Nimeskitika sana. Kama ni halali tuachwe tuskilizebpande zote jamani
  8. P

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mbaya zaidi wanaloby maofisini staff wanashurutishwa kujiunga na vodacom whether you like or not. Na ma afisa wetu njaa yao mnajikuta ofisi nzima mnapelekwa voda upende usipende kisa tuu kampuni inakulipia airtime kidogo. Huu wizi ni mkubwa sana ukiuanalyse
  9. P

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ukijiunga kwenye bando ndio unaibiwa vizuri mchanaaa. Bado linaisha hakuna hata notification text. Unaanza kukatwa pesa kwa kiwango kikubwa sana
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu na wenzake: Makinda ahalalisha maamuzi ya Ndugai, aingiza kipengele kwenye kanuni

    Umemaliza kuharisha tukupe kopo
  11. P

    JamiiForums Tanzania Talented Tanzanian Dr Eliud Wandwalo working as a Senior Specialist For TB at The Global Fund

    Ivii serikali yetu inawatambua watu kama hawa?
  12. P

    JamiiForums Tanzania JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    Jamani ninavoelewa JWTZ haliruhusiwi kuingilia usalama wa ndani mpaka ipate idhini ya bunge. Chukulia mfano kenya juzi walipouana ktk mapambano ya kikabila ambapo zaidi ya watu 100 walipoteza maisha baraza la mawaziri liliitwa kujadili kuingiza jeshi kwenye usalama wa ndani na baadae bunge...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Naibu spika apindisha kanuni tena

    Mlioko bungeni memba wa jf tupeni yaliojiri
  14. P

    JamiiForums Tanzania Naibu spika apindisha kanuni tena

    Jamani mchezo gani unaendelea? Tbc imetoa bunge gafla
Back
Top Bottom