Hujui unachokiongea wewe! kwa taarifa yako kanisa katoliki halijawahi kuwa na tofauti 'kubwa' na SERIKALI ama CCM tangia tupate uhuru, ukisikia 'tofauti' basi ni za kawaida tu, na huwa zinamalizwa fasta! kwa hivyo ukisikia pongezi elewa MAMA anajuwa anachikifanya ' The two are true partners'...
Kaka umejaribu kufafanua vzr. ila kwakusaidia tu ni kwamba, suala la 21% ni la kisheria tu ila utekelezaji wake haujawahi kufanyika kwa kiwango hicho! nenda kwenye taasisi zote za muungano utaniambia, Mchengerwa alitaka kututania lkn. akashindwa! jamani muwe na amani, hata kama Rais ni...
Kaka leo umenifungua macho! kumbe ndio maana 'wadau' wakaamua katika utawala huu wa MAMA, tujitahidi kuwapa taugh WAZENJ angalau na wao wasogee ili twende kwa umoja wetu! Hatuwezi kuwa na watu ndani ya nchi yetu wenye hali mbaya kama unayoisema, halafu tukabaki salama!
Mij
Mijadala mingi humu inaharibiwa na wapuuzi, hivi kwa mfano suala la swala tano linahusianaje hapa? mimi nadhani suala la kipato cha nchi au mtu binafsi hakihusiani na imani. ndio maana unawezakuta kuna 'swala tano' ana elimu na maendeleo kuliko hata mliberali, tujikite kwenye mada...
Kila siku nunajadili masuala haya lkn hatupati suluhusho kwasababu baadhi ya wachangiaji hawaelewi hata kinachobishaniwa, Kwanza mnatakiwa muelewe kuwa chanzo kikuu cha hayo yanayoitwa 'mapato ya muungano' yanayobishaniwa ni misaada kutoka nje, sio mapato ya korosho, pamba, utalii, bandari n.k...
Mimi bado najiuliza hawa wazanzibari wana siri gani! Yaani wakianzisha jambo lolote hata la kijinga lipate 'publicity' kubwa sana huku kwetu! mfano mbunge mmoja wa ACT- WAZALENDO 'asiyejielewa' ametoa maoni yake, bunge lote limezizima, mimi nadhani na wao walitakiwa kumjibu pale pale, badala...
Sababu ametusiwa usiempenda ila, Tanzania hii hatujafikia utamaduni wala demokrasia ya kuwatukana viongozi wetu namna hii, Na kama Tanzania ingekuwa namna hii tangia zamani, msingeikuta hivi ilivyo! Nadhani wakati umefika sasa wa kubadilisha sheria zetu ili watu wakitiwa hatiani kwa makosa ya...
Ndiyo Tz yetu hiyo! Kuna zamu ya wale wa ijumaa, jumamosi na jumapili, Jambo la msingi ni kuvumiliana tu, ili ikifika zamu ya mwengine msianze kulalamika!
Nadhani ungeangalia sheria inayosimamia hiyo BPRA. Kwa vile si chombo cha muungano, inawezekana kuwa ime'define mfano " For the purpose of this law, Tanzanian means....or Zanzibari means... Huwa wanasemaga hivyo wanasheria na maana yake ni Kwamba kwa 'sheria hiyo tu' Mimi mwenyewe ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.