Recent content by Papaa Mobimba

  1. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Hatma ya kesi ya ubunge wa Baba Levo kujulikana leo Julai 16

    Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya CCM, Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo), amewasili Mahakamani leo, Alhamisi Julai 16, 2026, kwa ajili ya kusikiliza uamuzi wa awali katika kesi ya uchaguzi Na. 28949/2026 inayopinga ushindi wake. Shauri hilo limefunguliwa na wananchi wanne wa Jimbo la...
  2. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa awamu ya 5 uliacha alama, njia zilizotumika kuacha alama, pia njia hizo ziliacha alama. Mwachieni tu anazo alama za utawala ulioacha alama

    UONGOZI UNAOACHA ALAMA Uongozi wa awamu ya tano uliacha alama. LAKINI njia zilizotumika kuacha alama, pia njia hizo ziliacha alama. Unatakiwa uongozi unaoacha alama bila kutumia njia zinazoacha alama. Mwachieni tu. Anazo alama za utawala ulioacha alama. Nimjuavyo, atafanya makosa...
  3. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tusikimbizane na makala za BBC, wao wameandika kidogo sana kuliko uhalisia

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kuwa mjadala unaoendelea kuhusu makala za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) haupaswi kuwa kipaumbele cha serikali, kwani maudhui yaliyoandikwa na chombo hicho ni kidogo sana ikilinganishwa na ukubwa wa...
  4. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Sheria ikiwa dhaifu, inaweza kuruhusu matumizi mabaya ya madaraka na upotevu wa rasilimali za taifa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026 Amesema... Sheria si maandishi tu. Sheria ni miundombinu ya taifa. Kwa maana ya kwamba sheria ikiandikwa vibaya inaweza...
  5. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo Fleva: Kuzomewa kwa wasanii waliotaka kuisifia Serikali kunatuma ujumbe gani kwa awamu ya sita?

    Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva liliyofanyika usiku wa kuamkia Julai 11 yalikuwa ya shangwe, burudani na kumbukumbu za safari ya muziki huo. Hata hivyo, tukio lililovuta hisia za wengi halikuwa muziki pekee, bali mwitikio wa watazamaji kwa baadhi ya wasanii waliojaribu kuzungumzia siasa...
  6. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Makatibu Wakuu wa CHADEMA tokea chama kianzishwe mwaka 1992 mpaka sasa; Unamkubali nani zaidi?

    Hata Dkt. Slaa alikuwa brain sana kabla ya kusaliti, lakini ni bora kuliko wengine. Mashinji ndio kituko kabisa, sijui walimuibua wapi.
  7. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Makatibu Wakuu wa CHADEMA tokea chama kianzishwe mwaka 1992 mpaka sasa; Unamkubali nani zaidi?

    Tangu kuanzishwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 1992, nafasi ya Katibu Mkuu imekuwa na mchango mkubwa katika kusimamia shughuli za kila siku za chama, kuratibu utekelezaji wa maamuzi ya uongozi na kuendesha sekretarieti ya chama. Hawa ni makatibu wakuu wa CHADEMA tangu...
  8. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Government Launches Swahili Day to Promote Kiswahili as Second National Language

    KAMPALA — The government has launched Swahili Day, marking the beginning of a renewed campaign to promote Kiswahili as Uganda's second national language and expand its use across the media, public institutions and everyday communication. The launch took place on Tuesday at the Uganda...
  9. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda 14 Killed, 28 Injured in Bus-Truck Collision Along Kampala–Gulu Highway

    Fourteen people have been confirmed dead and 28 others injured following a fatal road crash involving an Isuzu bus and a trailer along the Kampala–Gulu Highway. The crash according to Traffic Police spokespersonm Michael Kananura, occurred on Tuesday, July 7, 2026, at about 9:34pm at Bobi...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania V.A.R = Video Argentina Referee; Je, VAR inaibeba Argentina?

    VAR pale Argentina wanapofanya faulu Baada ya ushindi wa Argentina dhidi ya Misri, mjadala mkubwa umeibuka duniani kuhusu matumizi ya Video Assistant Referee (VAR), huku baadhi ya watu wakidai kuwa mabingwa hao watetezi wamenufaika na maamuzi yenye utata. Pia soma Mourinho: Mechi ya Misri...
  11. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Usimwachie Mtoto mali pekee, mwachie tabia itakayomjenga maisha yake

    Wazazi wengi hujitahidi usiku na mchana kutafuta mali ili kuwawekea watoto wao maisha mazuri ya baadaye. Hilo ni jambo jema, lakini kuna urithi wenye thamani zaidi kuliko nyumba, ardhi, gari au fedha. Urithi huo ni tabia njema na maadili mema. Mtoto anayelelewa katika mazingira ya upendo...
  12. Papaa Mobimba

    JamiiForums Rwanda, JamiiForums Tanzania Perezida Kagame yagizwe umuyobozi wa Komisiyo Mpuzamahanga ku Ikoranabuhanga ry’Ubwenge Buhangano (AI)

    Iyi komisiyo yashyizweho mu ntangiriro za Nyakanga 2026, mu nama mpuzamahanga ya “AI for Good” yabereye i Genève mu Busuwisi. Igamije guteza imbere ikoreshwa rya AI mu nyungu rusange, guteza imbere ibisubizo bifatika byongera icyizere mu ikoranabuhanga ry’ubwenge buhangano (AI), koroshya uburyo...
  13. Papaa Mobimba

    JamiiForums Rwanda, JamiiForums Tanzania U Rwanda rwemeje ingengo y’imari ya miliyari 7.796,3 Frw izakoreshwa uyu mwaka

    Mu buryo burambuye, ni 7.796.288.239.881 Frw, arimo ayaturuka imbere mu gihugu, impano n’inguzanyo. Iri tegeko ryasohotse mu Igazeti ya Leta mu mpera z’icyumweru gushize, nyuma yo gutorwa n’Umutwe w’Abadepite ku wa 24 Kamena 2026, rikaba rishingiye ku Itegeko Nshinga rya Repubulika y’u Rwanda...
  14. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Robert Kigongo: For Uganda, the choice is becoming increasingly clear: it is either press freedom or nothing

    The reported conditions attached to the reopening of Daily Monitor and NTV Uganda have reignited concerns about media independence. If newsrooms are compelled to choose between survival and editorial freedom, Uganda risks weakening one of the most important pillars of democratic accountability...
  15. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Katikkiro warns insecurity could drive away investors, hurt Uganda's economy

    Buganda Katikkiro Charles Peter Mayiga has cautioned that rising insecurity, including kidnappings and allegations of torture, could undermine investor confidence and weaken Uganda's economy, urging authorities to uphold the rule of law and constitutional principles. The Katikkiro of Buganda...
Back
Top Bottom