Recent content by Panzi Mchanga

  1. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya IMF: Mamlaka za Tanzania zimegoma kutoa kibali cha kuchapisha data za uchumi

    Nadhani tuichambue IMF kuanzia ushauri wao wa tangu miaka ya 90s. Hawa walituambia tupunguze wafanyakazi ili uchumi ukue. Tubinafsishe huduma za afya na tuache kutoa elimu bure na kushauri wazari walipie elimu. Wao pamoja na WB walitushauri tubinafsishe viwanda (sasa tunahangaika kufufua...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia imetoa mkopo wa dola 300m kwa sharti kwamba zaidi ya dola 15m zitumike kuendeleza waliopata ujauzito shuleni kuendelea na masomo

    Nadhani ungerudia video ya Rais wakati analisema hili. Kasema Tanzania ina mfumo wa kuwawezesha wanaopata mimba wakiwa mashuleni (shule za awali na kati) na hata kwa wale wasiokuwa shuleni lakini wanapata mimba wakiwa na umri mdogo. Mfumo huo ni VETA Kinachotakiwa ni kuweka utaratibu wa kuwa-...
  3. P

    JamiiForums Tanzania BEI ZA KOROSHO KATIKA NCHI ZA WENZETU

    Thanks for this detailed information. From the reading it seems the the buyers want to compensate limited profits they obtained from other markets with Tanzania business climate. "The lower price expectations for this coming auctions should be a positive news particularly to Indian processors...
  4. P

    JamiiForums Tanzania SGRs, Stiegler's, Flyovers and Bombadier development indicators for our Country in the 21st Century?

    Pascali Labda tujuilize unawezaje kutenganisha maendeleo ya "vitu" na watu?. Tuangalie kwa mfano. Binafsi maji kwa mwezi nilikuwa nanunua kwa watu 150000. Miaka mitatu sasa baada ya kuimarishwa kwa miundo mbinu nalipa wastani wa 30000. Inayobaki nasomesha watoto. Kabla ya elimu bila malipo...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania imeagiza Bambardier CS300 lakini zinakuja Airbus A220?

    Haya ni mambo ya kibiashara. Marekani waliwabana kampuni inayotengeneza ndege za bombardier cs 300 kwamba ina dump ndeze zake katika soko la marekani kwa sababu ni rahisi. Walichofanya ni kuingia ubia na Airbus.Airbus wakanunua share. Kwa sababu airbus wanaweza kuuza ndege zao katika soko la...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Ilani ya CCM ni kama Gazeti tu

    Nadhani kuna shida ya kuelewa maana ya ilani na mpango mkakati. Uandikaji wa ilani unaangalia mambo mengi sana ikiwemo marejeo ya mikataba ya kimataifa, ya kimkoa(East Africa customs union), sera za nchi kama sera ya afya,sera ya madini n.k.Ilani pia inaanglia vipaumbele vya wananchi. Ilani...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Issa Shivji: Taifa lina haki ya kutafakuri

    Nadhani Professor yuko sahihi. Hii tabia haikuanza leo. Inafaa tujikumbushe tetemeko la adhi kule Kagera, ajali ya watoto wa shule kule Arusha, mauwaji ya kule kibiti na sasa yaliyotokea Ukara. Nimepitia statement za viongozi wa upinzani kuhusu ajali ya Ukara, ukiacha ya James Mbatia, kwa kweli...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Suala la TCRA na usajili wa simu laweza kuwa na matokeo mabaya kwa kisiasa

    Najaribu kutafakari hili swala la TCRA kutaka mtu aandike barua ili kuwa na kibali cha kumiliki line mbili. Najaribu kufikiria hawa TCRA wanaishi nchi gani. Najaribu kufikiria mwananchi anayeishi Ntowisa Sumbawanga ajaze fomu asafiri hadi Dar es Salaam kuwasilisha fomu yake na asubiri kwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania A young woman threatened a demo and the tough boys overreacted to a non-event

    Very interesting from Ulimwengu. Kwa mtu yeyote ambaye anafikiria Young Lady kaandaa mpango mzima basi hajui mambo ya security. Serikali ilikuwa well informed. The date was selected for a purpose. Tukio la kusema watu waliovalia nguo za kijeshi wamefanya upekuzi nyumani kwa kiongozi wa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

    Paskali, Uchaguzi wa juzi ni Kinondoni na Siha-the ELITE. 2030 hatutazungumzia elimu bure. Kutakuwa na research mpya ya namna ya kufanya siasa kisayansi ya kuwafikia hao waliopata elimu buru kupitia sera za Chama Tawala cha sasa. Ikifika mahali watu wengi wakaona kunyoa Kiduku ndo haki yao siasa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya WEF: Tanzania ina umaskini wa 79%, hii sisikii serikali ikisema zaidi ya kusema Uchumi Shirikishi

    Attachment haina hata mwaka wa report kuandikwa. Muda wa takwimu ni muhimu sana. Takwimu zinaangaliwa positve kwa kutoa solution.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Sakata la IMMMA: Rais wa TLS, Tundu Lissu atoa maazimio ya Baraza la Uongozi. Wapanga kugoma siku mbili

    Wakati kitendo cha kulipuliwa ofisi si kizuri, ila kuna haja ya kufikiria kwa ndani zaidi na kuyahusisha na matukio ya nyuma. Lisu has a mission to accomplish. Anafanya kazi aliyotumwa. Anaeongea siyo Lisu. Tujikumbushe: Mambo ya ukuta Kuzunguka nje kuomba nchi inyimwe misaada Kuwashawishi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Barabara za Marekani hazilali kwa kuingiza pesa; kwanini tusiige?

    Now I can understand you. Thank you. You are talking about tunnel roads eeeh. We will soon have one in Tanzania.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Barabara za Marekani hazilali kwa kuingiza pesa; kwanini tusiige?

    Haya mambo ya kuiga yana hasara sana. Nimesoma haya mambo ya MDA na mambo ya madini. Kumbe watu wameiga kutoka Liberia na 3% zao. Nchi ina madini lakini maskini kwelikweli. Na kwa sababu wazungu wanawafahamu wakaambia democracy. Nayo yanaimba democracy. Ni wazuri wa kupiga domo kweli ila nchi...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya skendo ya BAE SYSTEMS, Tumenunua Rada nyingine ya bilioni 60 toka Uingereza

    Haya mambo ya kishabiki ndo maana Rais hawaelewi. Kwa sababu mtu kama wewe unashindwa kutambua malengo ya mradi mzima. Umefanya vizuri kuweka source. Ila sijaona panaposema BAE SYSTEMS kampuni ya Uingereza. Magazeti yote yanasema mkataba ni na watu wa Ufaransa (France). Ila jambo la kujua pia...
Back
Top Bottom