Baada ya skendo ya BAE SYSTEMS, Tumenunua Rada nyingine ya bilioni 60 toka Uingereza

Jan 14, 2017
83
71
Sitaki kuchafua hali ya hewa lakini je hii procurement process ilifuatwa?
Tenda ilitangazwa lini? Kampuni zipi ziliomba? Ngapi zilikuwa shortlisted?

Ilimetumika criteria zipi kuwapatia hii kampuni ya Thales?
Kwa nini wizara iliyo chini ya Makame Mbarawa hawajaweka hizi taarifa kwenye website yao?

JamiiForums sisi hupenda kuuliza maswali
Natumai huko mbeleni lisije tokea kama ya rada ya BAE SYSTEMS nayo kampuni ya Uingereza

zaidi soma hapa chini
========

00421986:8f22c2d2cff643e3af5796552c69e4a2:arc614x376:w614:us1.jpg

By Jimmy Lwangili
Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) and the government yesterday signed a 61bn/- deal for the purchase of four radars.Under the deal, over 10bn/- which could have been spent if the money was sourced from commercial banks will be saved, according to Works, Transport and Communication Minister Professor Makame Mbarawa.

Speaking at a brief signing ceremony, Professor Mbarawa said the government and TCAA would contribute 55 and 45 per cent, respectively, of the total costs. He said the envisaged four radars would be installed in four airports within an 18-month period.

The minister named the radar beneficiaries as Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam, Songwe Airport in Mbeya, Kilimanjaro International Airport and Mwanza International Airport.

He ordered Thales Air System SS, an engineering firm that has won tender to execute the project, to ensure that the project is complete within the specified time and at high precision.

"I believe TCAA will honestly and patriotically supervise the project implementation... I urge the contractors to work as per contract specifications.If you deliver contrary to specifications, the government will terminate the contract and subject you to fines," warned the minister. He underscored the importance of purchasing the new radars, arguing that they will strengthen safety and aviation security, increasing revenues through attraction of more airliners in the country's airspace.

"Upon the increase of airplanes using our airspace, the government will collect more revenues as taxes and fees. The tourism sector will also blossom as a result of increased airliners in the country," said Professor Mbarawa.

TCAA Director General Hamza Johari said the authority decided to purchase the new radars to replace the available whose capacity has deteriorated due to long-term uses, resulting into excessive maintenance costs.

He further explained that the radar purchase also aims at attracting more aircraft to use the country's airspace and boost the country's earnings. "There are some airplanes that cannot be monitored by this radar due to its low capacity but now we will be able to monitor all airplanes crossing on our airspace," he noted.

Mr Johari said under the project 33, TCAA workers will be trained by the engineering company on the use and maintenance of the new radars. He hinted that according to International Civil Aviation Organization (ICAO) study, TCAA has performed better, scoring 64.7 per cent this year from 37 per cent of 2013 on maintenance and regulation of aviation sector.

He asked the government to solve the challenges that face the Civil Aviation Training Centre, citing lack of enough space and shortage of training equipment as the critical hurdle, impeding its efforts to improve training and produce more skilled experts.

TCAA has also launched a new logo and website to improve its services.

Tanzania: 60bn/ - Deal to Secure Dar Airspace

SOURCE: All Africa
 
Ulitaka hizo taarifa uletewe chumbani

Tenda zote za kiserikali kitaifa hutangazwa na gazeti la serikali na kimataifa kwenye Vyombo vya kimataifa nadhani ungetafta habari zake usingekosa infact hii itasaidia kutupa kibali cha uangalizi wa pwani ya bahari ya Hindi ambapo awali kenya ndio waliokuwa na kibali hiko sababu sisi hatukuwa na rada

Argue don't shout
 
DH0rNXBXcAARNIq.jpg
 
Wewe umeona iyo tenda ikitangazwa?

‍♂️naenda zimbobo.
 
kwahiyo sheria za manunuzi hazifuatwi... sasa CAG,PPRa, GPSa hawana maana kuwepo... kama sheria hazifuatwi na wao wapo kimya...
 
Kama uko tayari kupimwa mkojo hoji

sent by saver from tel aviv-Israel
 
kwahiyo sheria za manunuzi hazifuatwi... sasa CAG,PPRa, GPSa hawana maana kuwepo... kama sheria hazifuatwi na wao wapo kimya...

Hei, come on. kabla ya kulalamika muwe mnatafuta taarifa husika, kisha someni na kujiridhisha. Mamlaka inayohusika na usimamizi wa manunuzi ya umma ni PPRA, waulize kwanza. Siyo mnaleta uswahii humu JF.

Vinginevyo huko kwenye chama chenu anzisheni idara ya kufuatilia public procurement iwe inawajuza appropriately. Kwa tunaojua the radar procurement bid had for over entire year gone through proper regulatory process.

Hata Mbarawa mentioned it in the ministry's budget speech. Kama husomi, hufuatilii, huelewi, and you are always wicked (mlizoea na kushiriki dili katika tawala ziliopita) hupaswi kuja hapa kupoteza muda wetu na malalamiko yasiyokuwa na substance.

Manunuzi ya radar mbovu (2003) alifanya Mkapa, Mramba (mme mwenza) na Barclays Bank kwa msaada wa Tony Blair. PPA (2004) haikuwepo enzi hizo kwa kuwa kiwango cha upigaji kilikuwa cha chini sana (1-3)%.
 
Hei, come on. kabla ya kulalamika muwe mnatafuta taarifa husika, kisha someni na kujiridhisha. Mamlaka inayohusika na usimamizi wa manunuzi ya umma ni PPRA, waulize kwanza. Siyo mnaleta uswahii humu JF.

Vinginevyo hko kwenye chama chenu anzishwni idara ya kufuatilia public procurement iwe inawajuza appropriately. Kwa tunaojua the radar procurement bid had for over entire year gone through regulatory process.

Hata Mbarawa mentioned it in the ministry's budget speech. Kama husomi, hufuatilii, huelewi, and you are always wicked (mlizoea na kushiriki dili katika tawala ziliopita) hupaswi kuja hapa kupoteza muda wetu na malalamiko yasiyokuwa na substance.

Manunuzi ya radar mbovu (2003) alifanya Mkapa, Mramba (mme mwenza) na Barclays Bank kwa msaada wa Ton Blair. PPA (2004) haikuwepo enzi hizo kwa kuwa kiwango cha upigaji kilikuwa cha chini sana (1-3)%.

kwahiyo.. hili ndilo jibu sahihi !? kama wewe unaona hizi ni siasa basi usijibu kisiasa...

nilitegemea ungekuja na taarifa za hiyo michakato tokea ilivyotangazwa tenda, wakandarasi walioshindanishwa.. hadi sasa hatua ya kusaini mkataba... lakini umeandika si hasa...
 
Sitaki kuchafua hali ya hewa lakini je hii procurement process ilifuatwa?
Tenda ilitangazwa lini? Kampuni zipi ziliomba? Ngapi zilikuwa shortlisted?

Ilimetumika criteria zipi kuwapatia hii kampuni ya Thales?
Kwa nini wizara iliyo chini ya Makame Mbarawa hawajaweka hizi taarifa kwenye website yao?

JamiiForums sisi hupenda kuuliza maswali
Natumai huko mbeleni lisije tokea kama ya rada ya BAE SYSTEMS nayo kampuni ya Uingereza

zaidi soma hapa chini
========

00421986:8f22c2d2cff643e3af5796552c69e4a2:arc614x376:w614:us1.jpg

By Jimmy Lwangili
Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) and the government yesterday signed a 61bn/- deal for the purchase of four radars.Under the deal, over 10bn/- which could have been spent if the money was sourced from commercial banks will be saved, according to Works, Transport and Communication Minister Professor Makame Mbarawa.

Speaking at a brief signing ceremony, Professor Mbarawa said the government and TCAA would contribute 55 and 45 per cent, respectively, of the total costs. He said the envisaged four radars would be installed in four airports within an 18-month period.

The minister named the radar beneficiaries as Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam, Songwe Airport in Mbeya, Kilimanjaro International Airport and Mwanza International Airport.

He ordered Thales Air System SS, an engineering firm that has won tender to execute the project, to ensure that the project is complete within the specified time and at high precision.

"I believe TCAA will honestly and patriotically supervise the project implementation... I urge the contractors to work as per contract specifications.If you deliver contrary to specifications, the government will terminate the contract and subject you to fines," warned the minister. He underscored the importance of purchasing the new radars, arguing that they will strengthen safety and aviation security, increasing revenues through attraction of more airliners in the country's airspace.

"Upon the increase of airplanes using our airspace, the government will collect more revenues as taxes and fees. The tourism sector will also blossom as a result of increased airliners in the country," said Professor Mbarawa.

TCAA Director General Hamza Johari said the authority decided to purchase the new radars to replace the available whose capacity has deteriorated due to long-term uses, resulting into excessive maintenance costs.

He further explained that the radar purchase also aims at attracting more aircraft to use the country's airspace and boost the country's earnings. "There are some airplanes that cannot be monitored by this radar due to its low capacity but now we will be able to monitor all airplanes crossing on our airspace," he noted.

Mr Johari said under the project 33, TCAA workers will be trained by the engineering company on the use and maintenance of the new radars. He hinted that according to International Civil Aviation Organization (ICAO) study, TCAA has performed better, scoring 64.7 per cent this year from 37 per cent of 2013 on maintenance and regulation of aviation sector.

He asked the government to solve the challenges that face the Civil Aviation Training Centre, citing lack of enough space and shortage of training equipment as the critical hurdle, impeding its efforts to improve training and produce more skilled experts.

TCAA has also launched a new logo and website to improve its services.

Tanzania: 60bn/ - Deal to Secure Dar Airspace

SOURCE: All Africa

Haya mambo ya kishabiki ndo maana Rais hawaelewi. Kwa sababu mtu kama wewe unashindwa kutambua malengo ya mradi mzima. Umefanya vizuri kuweka source. Ila sijaona panaposema BAE SYSTEMS kampuni ya Uingereza. Magazeti yote yanasema mkataba ni na watu wa Ufaransa (France).

Ila jambo la kujua pia (la pembeni) kwamba, Waingereza ndo walitusaidia kueleza ufisadi na $ 6million sikalipwa.

Wakati mwingine mumwelewe hata Lowasa basi. Alisema elimu, elimu, elimu. Rais wa awamu ya tano kaanza nayo. Elimu bila malipo hadi form six. Ungesoma kwa makini usingepotosha.
 
Ndio nini hiki?
unaishi tanzania?

by the way umetumia muda wako kujua konnection ya waliopewa tender na uingereza ?
 
Hatua nzuri sana, kwa kukusanya kodi za ndege kutumia anga la Tanzania na ulinzi pia.

Ila huyo Dada USO wake na MIGUU yake, mmmmmmh, basi tena hakuna namna.
 
Back
Top Bottom