Recent content by Panyaload

  1. P

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Kimara Matangini tarahe 6/06/2015

    ACT bado wachanga sana, wanafanya siasa kitoto sana! Et wanaanda propaganda ambazo ccm wamezitumia wakashndwa. Wasipo kuwa makini na zzk watapoteza muda wao 2 maana wanafanya kazi ya zzk msaliti pasipo kujua.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ni bora vijana wavuta bangi na wanywa viroba.

    Mwaka huu tupige sana viroba mpaka kieleweke, hivihivi waliojimiliksha hii mpaka waelewe somo ikiwezekana na gongo pia wajue vijana tumechoka na maneno yao ya kinafki hawa wezi.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa apokelewa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere akitokea Marekani

    Nipo hapa namsubiri rais wa mioyo ya watanzania makamanda. Taifa kwanza kazi baadae nikiwa na utulivu moyoni.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Diwani kata ya Kimara B jimbo la Ubungo akamatwa na polisi muda huu

    Diwani kata ya Kimara B jimbo la Ubungo mhe. Pasco Manota apigwa na kuwekwa ndani na polisi, kisa kuhoji polisi walio wanachukua pesa toka kwa wananchi kuwa wanachua pesa kwa ajili ya nini, muda huu makamanda wa CHADEMA wanaelekea polisi kujua tatizo nini. Source katibu mwenezi jimbo la Ubungo...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tamko la mali na madeni ya Zitto Kabwe wa chama cha ACT Wazalendo

    Ukimwangalia usoni na maneno yake unaweza sema ni mzalendo wa kweli, kumbe jamaa yeye ni mpiga madili tu. Jamaa alikua anaibua kashfa kubwa kubwa bungeni alafu baadae wanamtuliza na mabilioni ya fedha. 1. Wote tunakumbuka jamaa alivolishikilia swala wa watanzania walioficha mabilion uswisi...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya cha Mbunge Maarufu Aliyefukuzwa CHADEMA Hiki Hapa Live!!

    Mjamaa bilionea acha awapumbaze wajinga wa ACT.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hujuma dhidi ya mikutano ya ACT-Wazalendo

    labda mkeo ndo anakitegemea.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    umenena mkubwa, hlo nmelifklia jana nlpo sikia jamaa wa cdm alipo sema wengina wanajiunga na ACT kwa kazi maalum afu ni wengi kuliko wanachama wenyewe.
  9. P

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Wapewa Tuzo Kwa Kumuenzi Nyerere

    ukifukuzwa cdm lazima uwe chizi.
  10. P

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Wapewa Tuzo Kwa Kumuenzi Nyerere

    Juliana itafkia hatua hata mumeo hatakuamini, unaumbuka tu, mxcuuuuuuu.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Alphonce Mawazo amvaa Chenge-Bariadi

    unawafedhehesha kwa kuandika ugoro.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    Yupo kimasirahi zaidi, xo acha apige pesa, na anapitia ccm B kwend ccm A
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    asante mkuu. Vp mchele super nawezapata?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    Unafundsha somo gani mwalimu.?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    hapa hamna anayejua, wote watakao kupa majibu wanafki tu. Kwa kua umeonyesha kujua ofisi za zilipo nenda kaulize na acha unafki unakua kama kenge.
Back
Top Bottom