Natanguliza pole zangu kwa wafiwa wote... POLENI KWA KWA KUFIKWA NA MSIBA...
kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga
WAKULUNGWA ngoja niwaibie siri, hasa kwa sisi vijan wa leo.... tusikimbilie mambo ambayo tutayakuta mbeleni....
Iviii wewe mtoa mada akili yako fyatuuuu,,,,
Kusoma hujui hata picha uoni.... Inamaana uko uliko uko hao walemavu wako wa aina moja tu.... kwa nilivyo kategemea nilitegemea kuwaona walemavu wa aina tofauti tofauti mfano mlemavu wa akili,Macho,mikoni,miguu nk.....
Sasa hapo wewe ukiangalia kwa...
Uku mtaani kwetu kuna jirani yangu mmoja ivii... yeye kila siku anakuja na kibatani chake kuomba kungiza luku yaana mpaka kelo....
Yaan ukiamka asubuh unae, mchana unae, jioni unae mpaka saa6 usiku....
Yaaan najiulizaga uyu mzee kafunga mashine ya kusaga ndan mwake nin,,,!!! kwa siku anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.