Pole kwa masahibu na changamoto za biashara nakushauri usiache hiyo biashara kwa sababu ya changamoto bali endelea kukomaa kwani changamoto zipo kila mahali penye mafanikio.
Habari wananchi wenzangu ninaomba kuuliza maana sielewe, kwani ofisi za serikali ya mtaa Oysterbay imefungwa? maana toka jana mchana mpaka wakati huu hakuna mtu ofisini na kila nikipiga namba zao hazipokelewi.
Aise hata mimi kidogo ningeshawishika kuingia huko ila nilipowapigia nikaambiwa talalile za hapa na pale kweli SERIKALI yetu haina UCHUNGU na wananchi wake nakumbuka DECI serikali ilikuwa inajua fika lakini iliiacha DECI ili waje kuchua hela za wananchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.