Recent content by PANTA

  1. PANTA

    Mishahara mipya

    Salary slip haziwez kuwa tayar kwa mshahara uliotoka jana thats y nkaleta jukwaani.
  2. PANTA

    Ajira mpya za Ualimu

    Kama ni sayans ucjal mwez april 2016 utapangiwa kituo chako cha kaz ila kama ni art umeumia tafata namna nyingne ya kuish usitegemee ajira serikalin walimu wanagawana topics kutokana na uwing wao.
  3. PANTA

    Mishahara mipya

    Habarin wana jamvi, Kwa wale walimu wa ajira mpya walioajiriwa mwez may 2015 kuna baadhi take home yao imepungua je ni heslb wameanza kuchukua chao au ndo serikal imeanza kubana matumizi.
  4. PANTA

    Ajira za Serikali

    Hao wazembe wa kuingiza watu kwenye payrow ndo anawatafuta mtumbua majipu.
  5. PANTA

    Ajira za Serikali

    Me pia mwez wa pili huu hamna kitu,ila kama HR ameingiza detail zako vizur kwenye lawson ujue uzembe upo hazina.
  6. PANTA

    Kuripoti kazini

    Nashukuru mkuu.
  7. PANTA

    Kuripoti kazini

    Nashukuru mkuu,hata kama kugumu tutakomaa kitaa kugumu zaid ase.
  8. PANTA

    Kuripoti kazini

    Heshima kwenu wanajukwaa, awali wa yote natanguliza shukrani kwa Mwenyez Mungu na wanajukwaa kwa ushirikiano katika kipindi chote ya mihangaiko ya kutafuta kazi takriban mwaka 1 na miez 3 hatimae nmepata kazi katika moja ya halmashaur ya wilaya hapa Tz. Ila niliripot nikajaza zile form za...
  9. PANTA

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Bendela ya rais awamu 4 ilishushwa hvyo na baraza la mawazir lilivunjika kihvyo.
  10. PANTA

    Waziri wa Fedha ndie kila kitu, Magufuli akichemsha hili, basi

    Huyu ndo hafai kabsa kaiharibu nssf.
  11. PANTA

    Waziri wa Fedha ndie kila kitu, Magufuli akichemsha hili, basi

    Ila prof lipumba asingekuwa upande wa pil,huyu jamaa ni mzuri kwenye uchumi.
  12. PANTA

    Nafasi za kazi h/w mufindi

    Mufindi fursa nying sna pia hali ya hewa nzuri hakuna haja ya fen,ac wala mafrij hayana umuhimu.
  13. PANTA

    Nafasi za kazi h/w mufindi

    Mwisho wa kupokea maombi ni tar 30 sept 2015
  14. PANTA

    Nafasi za kazi h/w mufindi

    Mafinga ndo makao makuu ya wilaya ya mufindi like kilimanjaro na moshi
Back
Top Bottom