shida yangu na hii nchi ni kuwaachia watu wasiokuwa na ufahamu kufanya maamuzi kwa kuwa tu wamepewa mamlaka.
Huyu Magufuli sababu zake anazozitoa kupandisha nauli etc hazina maana hata kidogo
Anasema kuwa Nauli ya chato ni sh 300, kw ahiyo na kigamboni walipe sh 200 etc.Hivi huyu kilaza hajui...
DUH basi Paris nako kuna vituko!!where i live no one breaks your house to take a TV,no one steals your Laptop in a subway or car or public bus,and certainly no one grabs your phone while you talk on the phone!
and no one will ever steal anything from your car outside a MALL parking lot with...
bongo kuna vituko!mwanzo walikuwa wanavunja nyumba kuiba music systems,then wakaanza kuiba TV sets,baada ya hapo wakaanza kukwapua simu,wakahamia laptop,sasa hadi side mirrors na locks!duh
ILI KUONDOA UBISHI TULETEENI ADDRESS ZA MAKANISA YA HUYU BWANA CHINA,JAPAN NA KOREA.sio mnatufanya wajinga hapa.
nyie mnafikiri kutaja nchi za mashariki ya mbali ndio mmemaliza mjadala..,sidhani
Sijakataa wachina kujifunza injili tanzania,Mbona unachanganya mambo!!nimekwambia hilo jambo haliwezekani china,Watanzania/waafrika wengi hawawezi kutofautisha kati ya wachina,wasingapore,wataiwan,wajapan na wakorea.hivyo wewe kila ukiona macho madogo wajua ni wachina tu.
si vizuri...
Wewe Unaonesha ni mmoja kati ya mashabiki wa kuongea usichokifahamu,Google can only help somewhere,most of the time on the ground reality is more important,Narudia Tena unachokisikia CCTV sicho kinachoendelea kule..,it's called Propaganda,wake up dude!
Narudia Seria za China ni marufuku kuhubiri...
we are building our talk around the parameters presented in front of us.
-this guys is a preacher in a 3rd world country
-he definitely knows what poverty means
-he accepts a 250M car,which consumes 300K gasoline a day,which amounts to more than 100M a year to be spent on gas alone!!
-his...
ACHA UONGO WEWEEEEE!!!china hakuna DINI,hairuhusiwi mtu kuingia Airport ya China na BIBLIA zaidi ya 2,HAIRUHUSIWI kumhubiria mchina injili ya aina yoyote!Makanisa yamepigwa marufuku,chinese do not observe christianity,there are only few moslems in western part of china named uighurs(tamka...
I have nothing personal against these so called preachers,BUT when they prey on the weak that is when i have something against them.
What kakobe,this hummer Guy,and many others are doing is trying so hard to potray that being a pastor pays as well!
A hummer is a status car,same as a...
YAni hawa jamaa wanajifunza sheria za BUNGE kwa miaka mi-5!!what about half pay,or no pay at all for that time as well?!!
these people are not serious at all,TANZANIANS should LOOK at HAITI,it has been independent for over 2 centuries(over 200 years!!)now,BUT STILL VERY POOR.with these rate of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.