Escudo nomade inauzwa

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Gari inauzwa Escudo Nomade ya Dark Green imeingia Dar kutoka Japan Date 26/11/2009 inauzwa imesajiliwa T 675 BED kwa mawasiliano zaidi piga 0713623575 Bei Inaanzia Milioni 15 mpaka Milioni 14. Picha Max atawawekea. Chini ya Hizo Bei Haiuzwi wala usipige simu kwani kuiona ni bure kabisa tafuta muda wako njoo uione ina Ngao ya Mbele, Nyuma pia kuna Ngao, Ina roof na pia ina kapete (pea tatu) tofauti yaani unaweza kukabadilisha mara tatu (pea) Tunahitaji watu waliokusiriasi na gari sio kuleta mzaaa. kama kweli upo interest utaitafuta hata picha huitaji au angalia mtandao wa TRA ujue imeingia lini fuata namba hapo juu. Haina tatizo lolote Ina Comprehesive ya Zanzibar Insurance. Inatembea, Pia haijawai kupata tatizo lolote ajali au kitu kingine na Unapewa miaka 10 warranty. wahii haraka. sio kutumia misuli bali kuna waheshimiwa wengine wanataka kujaribu watu wanaweza kukusumbua na gari waisichukue please usinikoti vibaya.Ina km 94,500 ya mwaka 1994 Capacity ya Engine ni CC-1590.Ina milango 5.
 
Thanks Mchungaji,
hiyo gari ni mwaka gani?
engine capacity?
milango mingapi?
mileage ngapi?
 
.......Chini ya Hizo Bei Haiuzwi wala usipige simu kwani kuiona ni bure kabisa tafuta muda wako njoo uione ......Tunahitaji watu waliokusiriasi na gari sio kuleta mzaaa. kama kweli upo interest utaitafuta hata picha huitaji au angalia mtandao wa TRA ujue imeingia lini fuata namba hapo juu. .......Unapewa Miezi sita miaka 10 warranty. wahii haraka

Mbona mkali hivyo mkuu?.....biashara haiendi kwa misuli mingi namna hiyo....
Hapo kwenye Red mkuu hebu paangalie tena.....
 
Hajakurupuka,Original Post haikuwa na taarifa hizo.

Thanks Mkuu maana naona badala ya kuangalia product ili kumsaidia muuzani sis tunakurupukia kukurupuka tu!!!

post ya kwanza haikuwa na hizo specs na ame-edit a few minutes ago
 
Gari inauzwa Escudo Nomade ya Dark Green imeingia Dar kutoka Japan Date 26/11/2009 inauzwa imesajiliwa T 675 BED kwa mawasiliano zaidi piga 0713623575 Bei Inaanzia Milioni 15 mpaka Milioni 14. Picha Max atawawekea. Chini ya Hizo Bei Haiuzwi wala usipige simu kwani kuiona ni bure kabisa tafuta muda wako njoo uione ina Ngao ya Mbele, Nyuma pia kuna Ngao, Ina roof na pia ina kapete (pea tatu) tofauti yaani unaweza kukabadilisha mara tatu (pea) Tunahitaji watu waliokusiriasi na gari sio kuleta mzaaa. kama kweli upo interest utaitafuta hata picha huitaji au angalia mtandao wa TRA ujue imeingia lini fuata namba hapo juu. Haina tatizo lolote Ina Comprehesive ya Zanzibar Insurance. Inatembea, Pia haijawai kupata tatizo lolote ajali au kitu kingine na Unapewa miaka 10 warranty. wahii haraka. sio kutumia misuli bali kuna waheshimiwa wengine wanataka kujaribu watu wanaweza kukusumbua na gari waisichukue please usinikoti vibaya.Ina km 94,500 ya mwaka 1994 Capacity ya Engine ni CC-1590.Ina milango 5.

mi nakupa 12M kwani life tyme ya escudo mjini hapa inaweza fika 20M, nina maana unaweza ukaibiwa vifaa humo hata twenty times, so ateleast leverage ya 2M kuja kununua power window,side mirrors,ngao hiyo,distr,etc, kuna deal?sema nikutafute!
 
Nashukuru mkuu RealTz77 kwa ofa yako ujue hukusoma vyema warranty miaka 10 kwahiyo kuibiwa vitu haiwezekani kabisa nimesill mtu hawezi kuiba na pia ina alam ambayo hata wale waizi wakitumia smaku inalia tuu alam original kutoka england. wewe fanya biashara ya kweli kweli lipa hizo pesa kisha kama kuna tatizo la wizi ndani ya miaka kumi narudisha pesa. Asante mkuu nasubiri jibu
 
Wakuu nilisahau ina alam original kutoka England na pia ina imesill kila kitu hakiwezi kuibiwa na watoto wa mbwa kwani pia nitakupa ushauri wa bure ili watu wasiliguse gari lako. pia rangi mlisahau kuuliza ni dark green inayowakawaka na pia inajibadilishaga mara dark green mara dark blue ukiangalia kwa haraka. Kwa bei hii ndogo sana ukilinganisha na gari yenyewe, 4wd yake ni automatic
 
Nashukuru mkuu RealTz77 kwa ofa yako ujue hukusoma vyema warranty miaka 10 kwahiyo kuibiwa vitu haiwezekani kabisa nimesill mtu hawezi kuiba na pia ina alam ambayo hata wale waizi wakitumia smaku inalia tuu alam original kutoka england. wewe fanya biashara ya kweli kweli lipa hizo pesa kisha kama kuna tatizo la wizi ndani ya miaka kumi narudisha pesa. Asante mkuu nasubiri jibu

duh hii imetulia kweli kweli!ntakuona kiofisi mkuu!
 
duh hii imetulia kweli kweli!ntakuona kiofisi mkuu!

Haya nasubiri hizo pesa Umependa bei ipi 15M au 14M na uko wapi na unataka kulipia lini? nakupa na ofa ya seat cover za ngozi na Radio Original ya Sony. tena nitakutafutia tenda ya Uchaguzi maana wanapenda magari ya Roof kwa ajili ya kuhutubia watu. kama upo seriasi tufanye biashara ok.NB: hizi bei ndio zipo mbili yaani ya kuanzia na mwisho haishuki zaidi ya hapo sasa wewe ukitaka kumopa ofa pastor wako kumpa 15M au ukitoa 14M sawa tu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom