Recent content by panaldo

  1. P

    JamiiForums Tanzania January Makamba awa gumzo Kariakoo

    kwangu Mimi makamba bado..hatujauona mchango wake ktk jamii hata huo ubunge na uwaziri kazawadiwa tu..so nadhan ajipange kwanza
  2. P

    JamiiForums Tanzania Baraza kuu UVCCM, linaelekea kuazimia kuwa UKAWA wapate mitaa 10 tu nchi nzima

    hii ndio ccm wao kipaumbele ni uchaguzi na jinsi ya kuwashughulikia ukawa..mikakati ya mauaji ktk chaguz nk..lakini maswala ya muhim wao Hanma..eee Mungu tuepushe na hiki chama
  3. P

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu maswala ya Hisa tafadhali

    hata Mimi natamani kujua distribution of share huwa inakuwaje
  4. P

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu maswala ya Hisa tafadhali

    Ndugu wana jukwaa nimekuwa nikisikia neno HISA katika biashara ila bado sijabaatika kuipata Elimu hii..Tafadhali mwenye uelewa wa Hisa naomba anisaidie
  5. P

    JamiiForums Tanzania Proposal for Agricultural project support

    mkuu umekuja na swala la maana na Mm naitaji msaada huu Tafadhali mwenye uelewa anisaidie
  6. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA mkae mguu sawa

    hapa lazima tupigane kufa na kupona..vinginevyo maccm..yatAtupiga chenga ya mwili
Back
Top Bottom