Recent content by Pan AM

  1. Pan AM

    Nini Tofauti ya Home Theatre na Sond Bar?

    Kama una cash kwanini ununue kwa mkopo?, kuna watu wa ajabu sana.
  2. Pan AM

    Wanajua sana mpira hawa watu

    pumbavu.
  3. Pan AM

    GE2025 Chama cha Kijamii (CCK): Tukichukua nchi kila mtumishi tutamjengea nyumba

    Ndugu zangu hawa jamaa wapewe nchi, wana kitu.
  4. Pan AM

    GE2025 Wadaiwa kukutwa na fedha walizotaka kuzigawa kwa Wajumbe Jimbo la Ulanga - Morogoro, TAKUKURU yaingilia kati

    Kule Jimbo la Kisarawe mkoani PWANI, Mbunge anaemaliza muda wake ndugu Selemani Jaffo akituhumiwa kuhonga na kutoa rushwa, watu kadhaa wamekamatwa wengine ni viongozi wa Jumuiya ya wazazi wakiwa na kura feki, na pia viongozi wa chama kunavideo zinawaonyesha wakigawa fedha.
  5. Pan AM

    Mambo 10 Niliyoyabaini kwa Beki Hernest Malonga Anayetarajiwa Kujiunga na Simba Kumrithi Msaliti Mohamed Hussein Tshabalala

    😀😀Duu huu ufagio kiboko...Au wewe ndiyo Malonga mwenyewe?.
  6. Pan AM

    Halima Mdee: Ndugai alipigania Haki za Wabunge 19

    "No reforms no Election" wana maoni juu hizo kauli za Bi Halima?.
  7. Pan AM

    Nashauri Mafao ya Ndugai na mali zake zigawanywe nusu kwa nusu kwa wake zake, ili kuondoa mvurugano unaoweza kujitokeza

    Unajuaje?.pengine mleta uzi ndiyo Bi Fatuma anatoa maoni yake.
  8. Pan AM

    Zitto: Polepole siyo mzalendo, ni mmoja wa kuzorota kwa demokrasia nchini

    Ukweli mtupu, watanzania utawaweza mkuu, sasa fukua makabuli humu weka thread za nyuma kipindi cha Jiwezi, Bashiru na Polepole uone walivyokuwa wakiandika kuwahusu...
  9. Pan AM

    Kumbe na mchepuko mke wa mtu anawivu

    Basi acha, kabla tako lako halijapata madhara makubwa.
Back
Top Bottom